Sakho na Phiri waomba kuondoka Simba

Sakho na Phiri waomba kuondoka Simba

Kwa hiyo msimu ujao kama mkimchukua huyo na jamaa chini hapo kawahaida msimu ujao atakuwa wa moto pale kati mtakuwa hatari.
Screenshot_20230516_113557_Instagram.jpg
 
Usiache bhn,atleast wewe na jamaa yangu Scars ndio mashabiki wa makolo ambao ni reasonable na wastaarabu, na mna sense ile ya utani wa jadi na sio upumbavu kama wale jamaa tunaotukanana nao daily mpk aibu tunaona sisi
😀 😀 😀 😀 ila mi nae hujanifuma tuu kuna siku navurugwa...
 
Watu kama ninyi mkiwa wake zetu mwaweza kutuuua huku mnatufariji kwa maneno mazuri na tabasamu feki kumbe siku nyingi sana mnakuwa mlishatuwekea sumu kwenye vyakula zinazotuua kimya kimya hadi kutoweka mazima...[emoji26]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kuna ka ukweli hapo ila mimi siwezi muua mtu ninae exchange nae hewq
 
Back
Top Bottom