Sakho na Phiri waomba kuondoka Simba

Kwa hiyo msimu ujao kama mkimchukua huyo na jamaa chini hapo kawahaida msimu ujao atakuwa wa moto pale kati mtakuwa hatari.
 
Usiache bhn,atleast wewe na jamaa yangu Scars ndio mashabiki wa makolo ambao ni reasonable na wastaarabu, na mna sense ile ya utani wa jadi na sio upumbavu kama wale jamaa tunaotukanana nao daily mpk aibu tunaona sisi
😀 😀 😀 😀 ila mi nae hujanifuma tuu kuna siku navurugwa...
 
Kuna ka ukweli hapo ila mimi siwezi muua mtu ninae exchange nae hewq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…