Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
SALA HII INAFAA SANA LEO, Dominika ya kwanza ya majilio.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Sala ukute kuna mhuni mmoja ameiandika, maana haijazingatia maadili; Huwezi kumuita binadamu mwenzako aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu "Mshenzi", Kanisa Katoliki huwa halitumii maneno ya kihuni hivyo kusali.SALA HII INAFAA SANA LEO, Dominika ya kwanza ya majilio.....
![]()
Ilitumika zamaniHii Sala ukute kuna mhuni mmoja ameiandika, maana haijazingatia maadili; Huwezi kumuita binadamu mwenzako aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu "Mshenzi", Kanisa Katoliki huwa halitumii maneno ya kihuni hivyo kusali.
Zamani ya lini??Ilitumika zamani
Neno ushenzi mbona lilitoka kwao wakoloni, waliita mila zetu ni za kishenzi....yawezekana hata hiyo sala ilikuwepo enzi zao.Hii Sala ukute kuna mhuni mmoja ameiandika, maana haijazingatia maadili; Huwezi kumuita binadamu mwenzako aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu "Mshenzi", Kanisa Katoliki huwa halitumii maneno ya kihuni hivyo kusali.
Mmhhh!!!, Sawa bhanaNeno ushenzi mbona lilitoka kwao wakoloni, waliita mila zetu ni za kishenzi....yawezekana hata hiyo sala ilikuwepo enzi zao.