Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Hapo umeitika kinyongeSawa baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo umeitika kinyongeSawa baba
Sawa mkuuHahaaaa. Sawa ndugu tutajitahidi.
Basi sawaSehemu zipo nyingi ambazo kuwepo ni mhimu kuliko kupendeza
Sawa mkuuKweli kabisa hiyo namba nane haina jinsia huwa inatokea tu tena kwa wote ila lazima iwe na sababu maalum.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hapo umeitika kinyonge
Nachoshukuru siku hizi hua anakaa ananiuliza leo kuna safari au hatwendi??Hahahaaa. Ndio uwanamke huo mkuu na hapo wenyewe tunaona sawa kabisa.
Ila punguza uongo bana sio vizuri ujue.Nachoshukuru siku hizi hua anakaa ananiuliza leo kuna safari au hatwendi??
Nikamwambia kuna night pati pahala, alianza maandilizi toka saa Kumi na moja.
Ilipofika saa kumi na mbili, nikaamwambia tumeahirisha, aliingindia akachukua simu akawapigia watu wa kikundi aka wambia kuna kikao cha dharura[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nilipomuuliza ametoka wapi??
Nilichojibiwa aseeee
Ndiyo nini kumdanganya mwenzako mkuuNachoshukuru siku hizi hua anakaa ananiuliza leo kuna safari au hatwendi??
Nikamwambia kuna night pati pahala, alianza maandilizi toka saa Kumi na moja.
Ilipofika saa kumi na mbili, nikaamwambia tumeahirisha, aliingindia akachukua simu akawapigia watu wa kikundi aka wambia kuna kikao cha dharura[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nilipomuuliza ametoka wapi??
Nilichojibiwa aseeee
Sawa mkuu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kawaida tu mkuu
Alikuwa anezidi aseee, ila ni fundisho kwake[emoji38] [emoji38] [emoji38] siku hizi anajitahidi sana aseeeIla punguza uongo bana sio vizuri ujue.
Ningekuwa mimi ningenunia hatari.
Kwani yeye ndio nini kunichelewesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndiyo nini kumdanganya mwenzako mkuu
WEEE SIKIA HIIKwanza ukimjulia haikupi shida unampa taarifa mapema anajiandaa, muda ukifika yupo tayari. Wala haikusumbui kabisa