Sala hii ni ya kuwaombea wanawake

Sala hii ni ya kuwaombea wanawake

Hahahaaa. Ndio uwanamke huo mkuu na hapo wenyewe tunaona sawa kabisa.
Nachoshukuru siku hizi hua anakaa ananiuliza leo kuna safari au hatwendi??
Nikamwambia kuna night pati pahala, alianza maandilizi toka saa Kumi na moja.

Ilipofika saa kumi na mbili, nikaamwambia tumeahirisha, aliingindia akachukua simu akawapigia watu wa kikundi aka wambia kuna kikao cha dharura[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Nilipomuuliza ametoka wapi??

Nilichojibiwa aseeee
 
Ila punguza uongo bana sio vizuri ujue.

Ningekuwa mimi ningenunia hatari.
 
Nachoshukuru siku hizi hua anakaa ananiuliza leo kuna safari au hatwendi??
Nikamwambia kuna night pati pahala, alianza maandilizi toka saa Kumi na moja.

Ilipofika saa kumi na mbili, nikaamwambia tumeahirisha, aliingindia akachukua simu akawapigia watu wa kikundi aka wambia kuna kikao cha dharura[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Nilipomuuliza ametoka wapi??

Nilichojibiwa aseeee
Ndiyo nini kumdanganya mwenzako mkuu
 
Nilishagomabana na mademu wangu wawili kwa ajili ya hio namba 5, kote hua navumilia ila hapo nashindwaga. No 9 imenifanya nifurah sana
 
Kwanza ukimjulia haikupi shida unampa taarifa mapema anajiandaa, muda ukifika yupo tayari. Wala haikusumbui kabisa
WEEE SIKIA HII

Kuna mmoja hivi hio Siku alikua na safari asubuh saa 12, nilimuamsha saa Tisa akasema its too much, sbb namjua nilimkazania mpk akaamka. Huwez amini muda umefika anaaza kutafta Sidiria yake, nikamuuliza hzi nyingne zina Upupu? Akasema et haziendani na Chupi. Nikamwambia basi vua chupi hio uvae hio inayoendana na sidiria, analalama et hio anaivaa vaa sana, Hasira zikanipanda nikamkazia akavaa vile vile shingo upande. Kwa sabb najua nywele zake inachukua mda kuziseti nikamkazia akavaa wigi, Akatoka zinapita dk tatu nashangaa MTU anarud et nimemharakisha mpk kasahau kuvaa pedi na mzunguko wake unaanza siku ile, hapo ashachelewa lisaa zima na mimi namkazania vile n kwa faida yake tena ya msingi tuu, yani nilijiwa na hasira na kicheko vyote kwa mpigo. Nilitaman avae pedi juu ya chupi, alikua too soft nikaona machozi yashaanza kumtoka, pale mwanaume nikaingiwa na huruma ikabidi niongee kirefu na wale jamaa kule alikokua anawahi aende kesho yake, kwa mbinde wakanielewa. Akabaki, ndo akatabasamu. Nilichogundu wanawake wengi ukiwaharakisha ndo wanachangaya mambo mana ilifika hatua mpk anataka apake poda miguuni na kutafta kibanio cha nywele wakat kavaa wigi. Ule usiku nilihakikisha ananionesha kila kitu chake atakachovaa kesho kikiwa kimeshakamilika na nikaamka nae kabisa ili nimsimamie basi akawah na mambo yakawa poa. Alikua mpole na mnyenyekevu sana yule mwanamke sijapata ona.
 
Back
Top Bottom