Sala humtoa mtu kwenye maovu na kumuweka katika mema. Kama unasali na bado unafanya maovu sala yako ni sifuri

Sala humtoa mtu kwenye maovu na kumuweka katika mema. Kama unasali na bado unafanya maovu sala yako ni sifuri

Ni sahihi unavyosema lakini mambo haya ndio huwafanya watu wanao taka kuanza kusali kuacha kusali kwasababu wanakatishwa tamaa

Mtume aliwahi kuambiwa Fulani anaiba lakini anakuja kuswali msikitini, Mtume akajibu hivi karibuni ataacha hiyo Tabia.

Kwahiyo tukisali kama inavyotakiwa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu sala zetu zitatubadilisha na kuwa watu wema
 
Back
Top Bottom