Sala ili ipokelewe na Mwenyezi Mungu inapaswa iwaje?

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,598
Reaction score
1,294
Najua Nyinyi Wakristo huwa Mnaswali kwa Mungu mkipitisha sala hiyo kwa Yesu Kiristo kwa kuwa yeye anatekeleza jukumu la kuwa mpatanishi kati yenu na Mungu Mwenyezi; Je ni hivyo kweli mnavyotakiwa kuswali? Mlipata kujiuliza? Haitakuwa mbaya mkajifunza pia kutoka kwa wenzenu. Kwa maana hiyo hebu sikilizeni hii clip hapa chini mtapata cha kujifunza. na nipate maoni yenu mkilinganisha njia hizi mbili za kuswali.

Najua Nyinyi Wakristo huwa Mnaswali kwa Mungu mkipitisha sala hiyo kwa Yesu Kiristo kwa kuwa yeye anatekeleza jukumu la kuwa mpatanishi kati yenu na Mungu Mwenyezi; Je ni hivyo kweli mnavyotakiwa kuswali? Mlipata kujiuliza? Haitakuwa mbaya mkajifunza pia kutoka kwa wenzenu. Kwa maana hiyo hebu sikilizeni hii clip hapa chini mtapata cha kujifunza. na nipate maoni yenu mkilinganisha njia hizi mbili za kuswali
View attachment 3007002
wakristo huwa hawaswali, ispokua huwa wana sali, sala mbalimbali kulingana na mahitaji ya ya kiroho na kimwili 🐒
 
Katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm)
Maombi yanayosikiwa na kujibiwa ni yale yanayo pitia Jina la Yesu tu maana yeye ndie mwenye Mamlaka makuu ya kiungu yaani ndie aliyekirimiwa Uungu yaani ndie JEHOVA!
Nje ya Jina la Bwana Yesu Kristo maombi yote ni batili
Hilo halina ubishi wala mjadala maana watu wote Spiritual iwe upande wa Nuru au Giza wanaelewa hii siri ya Kiungu!
 
Wanabishana kuhusu jambo dogo.
Mwislamu anatakiwa kuongea na Mungu direct,lakini mpaka hapo akili yake itakapokomaa,anapaswa kumtegemea Muhammad.
Kama dereva 'learner' anamtegemea mkufunzi,halafu baadaye anaendesha gari peke yake
 
Ili sala ipokelewe Mpaka iwe na kichwa cha habari kizuri na kinachoshawishi
 
Katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm)
Maombi yanayosikiwa na kujibiwa ni yale yanayo pitia Jina la Yesu tu maana yeye ndie mwenye Mamlaka makuu ya kiungu yaani ndie aliyekirimiwa Uungu yaani ndie JEHOVA!
Nje ya Jina la Bwana Yesu Kristo maombi yote ni batili
Hilo halina ubishi wala mjadala maana watu wote Spiritual iwe upande wa Nuru au Giza wanaelewa hii siri ya Kiungu!
Kazi kweli kweli....
 
Najua Nyinyi Wakristo huwa Mnaswali kwa Mungu mkipitisha sala hiyo kwa Yesu Kiristo kwa kuwa yeye anatekeleza jukumu la kuwa mpatanishi kati yenu na Mungu Mwenyezi; Je ni hivyo kweli mnavyotakiwa kuswali? Mlipata kujiuliza? Haitakuwa mbaya mkajifunza pia kutoka kwa wenzenu. Kwa maana hiyo hebu sikilizeni hii clip hapa chini mtapata cha kujifunza. na nipate maoni yenu mkilinganisha njia hizi mbili za kuswali.

Imani iwe juu, Uamini kabla jujajibiwa
 
Mmesikiliza lakini hiyo video clip? Maana humu JF ili uzi wako usipingwe na Mods, inabidi usionekane unaukosoa uislam; Wenzenu waislam kumbe wao huwa wanaswali moja kwa moja kwa mtume Mohammad!! Hiyo ina make sense kweli? Hebu sikilizeni vizuri clip ni dakika 6 tu
 
Halafu kibaya zaidi huyo Mohammad ni mfu yuko kaburini kule maddina. Wakati huo huo Quran yao wenyewe inakiri yesu alinyakuliwa kwenda kwa Mungu ambako huko yuko na Mungu akiwa hai
 
Katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm)
Maombi yanayosikiwa na kujibiwa ni yale yanayo pitia Jina la Yesu tu maana yeye ndie mwenye Mamlaka makuu ya kiungu yaani ndie aliyekirimiwa Uungu yaani ndie JEHOVA!
Nje ya Jina la Bwana Yesu Kristo maombi yote ni batili
Hilo halina ubishi wala mjadala maana watu wote Spiritual iwe upande wa Nuru au Giza wanaelewa hii siri ya Kiungu!
This is takataka,,, hivi inaingia akilini Mungu ampe uungu kiumbe chake, then kiumbe hiko kiuwawe au kusulubiwa wakati huo huo ana nguvu za kiungu, huoni ni kama kuonyesha kuwa Mungu hana nguvu hata za kujilinda mwenyewe????

Haya mwenye mamlaka kafa, nani atakuwa na mandate ya kidunia????

Kwenye uislamu tunaamini Mungu ni mmoja hapo hapo tunaamini kuhusu mitume yesu akiwamo, lakini hatuamini kama amekufa au amesulubiwa, na hana mamlaka ya kiungu aliyopewa,,,!!!

vitu vingine ni kutumia akili, yaani mashetani wazungu wamekuwezeni kweli kweli, na bahati mbaya mliyonayo hamna hata huo muda wa kujifunza dini yenu, mpo mpo tu duniani,.

Hivi hamfikirii kwa nini sehemu nyingi zilizotajwa kwenye biblia ni makazi ya waislamu kwa sasa, na kwa nini sehemu hizo hizo hakuna hata dhehebu la kikristo lililoanzishwa huko,,,!!!!

Jiulize ukristo ulifikaje ulaya ya magharibi na kwa nini walianzisha madhehebu wakati wenyewe ni wapokeaji tu wa dini kama ilivyo kwa waafrika???

achana na hilo, hivi hujiulizi kwa nini wazungu ambao si wakristo wa asili wana mamlaka kiasi cha kutaka mabadiliko kwenye dini na biblia pia???

yaani kwa ufupi ukristo sio dini ya maana.

Na kama kuna mtu anaamini yeye ni mkristo mwenye imani thabiti na dini yake ipo sahihi ruhusa kuni pm, akiwa na hoja za msingi, sio porojo na makasiriko.
 
Hicho kilichojadiliwa ni kipande kidogo cha tashahhud, na hakina maana kuwa muhammad ndio anaombwa!!

Jamaa anamlazimisha mtu kutoa jibu analolitaka yeye, na kwa maana anyoijua yeye.

Ila kwenye taaluma ya kutoa habari hukumu hiyo video ni non and void kwa sababu haijakamilika!!!!
 
Wanabishana kuhusu jambo dogo.
Mwislamu anatakiwa kuongea na Mungu direct,lakini mpaka hapo akili yake itakapokomaa,anapaswa kumtegemea Muhammad.
Kama dereva 'learner' anamtegemea mkufunzi,halafu baadaye anaendesha gari peke yake
Jamaa anajaribu kumkonvince huyo mtu kwa namna anayoitaka yeye, naye pia hana hoja ila ni mbishi tu na ni much knower na ndio maana video iko ya upande wake na ni kipande kifupi hatuwezi jua kipi kilitokea mbeleni.
 
Mmesikiliza lakini hiyo video clip? Maana humu JF ili uzi wako usipingwe na Mods, inabidi usionekane unaukosoa uislam; Wenzenu waislam kumbe wao huwa wanaswali moja kwa moja kwa mtume Mohammad!! Hiyo ina make sense kweli? Hebu sikilizeni vizuri clip ni dakika 6 tu
Waislamu hawaswali kwa Muhamad , ni kumuombea dua katika daraja lake ila kweny salah za kawaida ni Qur - an mwanzo mwisho.

Maneno ynayotamkwa pale ndio yana maana
 
Jamaa anajaribu kumkonvince huyo mtu kwa namna anayoitaka yeye, naye pia hana hoja ila ni mbishi tu na ni much knower na ndio maana video iko ya upande wake na ni kipande kifupi hatuwezi jua kipi kilitokea mbeleni.
Taqqya ya Maislamists mkiwekwa kwenye corner
 
Hicho kilichojadiliwa ni kipande kidogo cha tashahhud, na hakina maana kuwa muhammad ndio anaombwa!!

Jamaa anamlazimisha mtu kutoa jibu analolitaka yeye, na kwa maana anyoijua yeye.

Ila kwenye taaluma ya kutoa habari hukumu hiyo video ni non and void kwa sababu haijakamilika!!!!
Huyu mjadala mzuri sana kesho Mungu akipenda tutawekana sawa..
 
Waislamu hawaswali kwa Muhamad , ni kumuombea dua katika daraja lake ila kweny salah za kawaida ni Qur - an mwanzo mwisho.

Maneno ynayotamkwa pale ndio yana maana
Video inajieleza wazi, hata ukija na taqqya zako
 
Video ni fupi na ya upande mmoja halafu huyo muulizwaji hajamaliza kujibu mwamba amekata kipande chake, ko hakuna majibu sahihi yanayotokana na video.
 
Back
Top Bottom