wakristo huwa hawaswali, ispokua huwa wana sali, sala mbalimbali kulingana na mahitaji ya ya kiroho na kimwili 🐒Najua Nyinyi Wakristo huwa Mnaswali kwa Mungu mkipitisha sala hiyo kwa Yesu Kiristo kwa kuwa yeye anatekeleza jukumu la kuwa mpatanishi kati yenu na Mungu Mwenyezi; Je ni hivyo kweli mnavyotakiwa kuswali? Mlipata kujiuliza? Haitakuwa mbaya mkajifunza pia kutoka kwa wenzenu. Kwa maana hiyo hebu sikilizeni hii clip hapa chini mtapata cha kujifunza. na nipate maoni yenu mkilinganisha njia hizi mbili za kuswali
View attachment 3007002
Kazi kweli kweli....Katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm)
Maombi yanayosikiwa na kujibiwa ni yale yanayo pitia Jina la Yesu tu maana yeye ndie mwenye Mamlaka makuu ya kiungu yaani ndie aliyekirimiwa Uungu yaani ndie JEHOVA!
Nje ya Jina la Bwana Yesu Kristo maombi yote ni batili
Hilo halina ubishi wala mjadala maana watu wote Spiritual iwe upande wa Nuru au Giza wanaelewa hii siri ya Kiungu!
Imani iwe juu, Uamini kabla jujajibiwaNajua Nyinyi Wakristo huwa Mnaswali kwa Mungu mkipitisha sala hiyo kwa Yesu Kiristo kwa kuwa yeye anatekeleza jukumu la kuwa mpatanishi kati yenu na Mungu Mwenyezi; Je ni hivyo kweli mnavyotakiwa kuswali? Mlipata kujiuliza? Haitakuwa mbaya mkajifunza pia kutoka kwa wenzenu. Kwa maana hiyo hebu sikilizeni hii clip hapa chini mtapata cha kujifunza. na nipate maoni yenu mkilinganisha njia hizi mbili za kuswali.
Halafu kibaya zaidi huyo Mohammad ni mfu yuko kaburini kule maddina. Wakati huo huo Quran yao wenyewe inakiri yesu alinyakuliwa kwenda kwa Mungu ambako huko yuko na Mungu akiwa haiMmesikiliza lakini hiyo video clip? Maana humu JF ili uzi wako usipingwe na Mods, inabidi usionekane unaukosoa uislam; Wenzenu waislam kumbe wao huwa wanaswali moja kwa moja kwa mtume Mohammad!! Hiyo ina make sense kweli? Hebu sikilizeni vizuri clip ni dakika 6 tu
This is takataka,,, hivi inaingia akilini Mungu ampe uungu kiumbe chake, then kiumbe hiko kiuwawe au kusulubiwa wakati huo huo ana nguvu za kiungu, huoni ni kama kuonyesha kuwa Mungu hana nguvu hata za kujilinda mwenyewe????Katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm)
Maombi yanayosikiwa na kujibiwa ni yale yanayo pitia Jina la Yesu tu maana yeye ndie mwenye Mamlaka makuu ya kiungu yaani ndie aliyekirimiwa Uungu yaani ndie JEHOVA!
Nje ya Jina la Bwana Yesu Kristo maombi yote ni batili
Hilo halina ubishi wala mjadala maana watu wote Spiritual iwe upande wa Nuru au Giza wanaelewa hii siri ya Kiungu!
Jamaa anajaribu kumkonvince huyo mtu kwa namna anayoitaka yeye, naye pia hana hoja ila ni mbishi tu na ni much knower na ndio maana video iko ya upande wake na ni kipande kifupi hatuwezi jua kipi kilitokea mbeleni.Wanabishana kuhusu jambo dogo.
Mwislamu anatakiwa kuongea na Mungu direct,lakini mpaka hapo akili yake itakapokomaa,anapaswa kumtegemea Muhammad.
Kama dereva 'learner' anamtegemea mkufunzi,halafu baadaye anaendesha gari peke yake
Waislamu hawaswali kwa Muhamad , ni kumuombea dua katika daraja lake ila kweny salah za kawaida ni Qur - an mwanzo mwisho.Mmesikiliza lakini hiyo video clip? Maana humu JF ili uzi wako usipingwe na Mods, inabidi usionekane unaukosoa uislam; Wenzenu waislam kumbe wao huwa wanaswali moja kwa moja kwa mtume Mohammad!! Hiyo ina make sense kweli? Hebu sikilizeni vizuri clip ni dakika 6 tu
Taqqya ya Maislamists mkiwekwa kwenye cornerJamaa anajaribu kumkonvince huyo mtu kwa namna anayoitaka yeye, naye pia hana hoja ila ni mbishi tu na ni much knower na ndio maana video iko ya upande wake na ni kipande kifupi hatuwezi jua kipi kilitokea mbeleni.
Huyu mjadala mzuri sana kesho Mungu akipenda tutawekana sawa..Hicho kilichojadiliwa ni kipande kidogo cha tashahhud, na hakina maana kuwa muhammad ndio anaombwa!!
Jamaa anamlazimisha mtu kutoa jibu analolitaka yeye, na kwa maana anyoijua yeye.
Ila kwenye taaluma ya kutoa habari hukumu hiyo video ni non and void kwa sababu haijakamilika!!!!
Video inajieleza wazi, hata ukija na taqqya zakoWaislamu hawaswali kwa Muhamad , ni kumuombea dua katika daraja lake ila kweny salah za kawaida ni Qur - an mwanzo mwisho.
Maneno ynayotamkwa pale ndio yana maana
InshallahHuyu mjadala mzuri sana kesho Mungu akipenda tutawekana sawa..
Video ni fupi na ya upande mmoja halafu huyo muulizwaji hajamaliza kujibu mwamba amekata kipande chake, ko hakuna majibu sahihi yanayotokana na video.Video inajieleza wazi, hata ukija na taqqya zako
Kwa huyo ndio nan ? Mswalieni mtume ni amri kweny Qur an , waislamu wanamuombea dua kwa kumtakia rehma .Video inajieleza wazi, hata ukija na taqqya zako