Sala ili ipokelewe na Mwenyezi Mungu inapaswa iwaje?

Mashia wanataka marekebisho kwenye Quran, halafu wake za mtume wanawachukulia ni makahaba tu.
 
Manabii na mitume wetu wanasema iambatane na fungu la kumi, vinginevyo hautasikilizwa.
Kwenye hiyo video wenzenu kumbe wanaposali huwa wana direct hizo sala kwa mtume, ambaye aliisha jifia
 
Eti nipo serious na maisha mkuu kausha 😁😁
Yap be serious meeeen yaani ukipuuzia Haya nambo spiritual kujifunza utachezewa sana na wahuni siku Moja katika maisha yako utaanza tafuta kina shekhe Sule na kina Mwamposa wakuague kumbe ni swala ambalo unaliweza tatua within a second wewe mwenyewe mkuu!
 
Hahahaha mna vijimambo kweli ,kausha master.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…