Huyo atakuwa ni marehemu amesha zikwa zanzibar siku nyingi
Basic question.Huyu padri kuna alichokuwa anangea kuhusu siasa za wakati huu nchini Tanzania?
Nami natamani kujua hiliHuyu padri kuna alichokuwa anangea kuhusu siasa za wakati huu nchini Tanzania?
Aliongelea tu mambo ya kijamii na si ya siasa, aliongelea watu kutekwa na kukosekana kwa maelezo muhimu kutoka vyombo vya ulinzi na usalama. Hiyo si siasa.Huyu padri kuna alichokuwa anangea kuhusu siasa za wakati huu nchini Tanzania?
Daaah!!Aliongelea tu mambo ya kijamii na si ya siasa, aliongelea watu kutekwa na kukosekana kwa maelezo muhimu kutoka vyombo vya ulinzi na usalama. Hiyo si siasa.
Abdul, Mafwele, Samia, Kikwete pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama ndiyo wanajua alipo Padre na ni dharau kubwa sana kwa Catholic church si Tanzania tu bali dunia nzima na dharau kwa waumini wote kutoka kwa hao watajwa hapo pamoja na 'mbwa' wao 'wasiojulika' ambao ndiyo physically hutekeleza maagizo utekaji, uuaji, udhalilishaji na kunajisi victims.Daaah!!
Mkuu Mimi binafsi nasikitika sana padri hakuwa mtu wa makuu.
Mungu amsaidie wepesi huko aliko
Kwani huyo padre kawafanya nini jamani