Sala ya kumuombea Padre Camillus Nikata ambaye ametoweka haijulikani aliko..

Sala ya kumuombea Padre Camillus Nikata ambaye ametoweka haijulikani aliko..

Hii sala haitawaacha wahuni salama. Matokeo yake yataanza kuonekana muda si mrefu. Mimi ni Mkatoliki, na nimeishi kwa miaka mingi kwenye mazingira ya Ukatoliki. Hivyo nina uhakika na hiki ninachokisema.
Iwe kweli basi
 
Back
Top Bottom