Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 316
We KIKWETE uliye 2filis, jina lako lisahaulike ,utakalo lifanyike BAGAMOYO tu! Utupe leo mabilion ye2 ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote mahakaman, uwalipe wastaafu, walimu na wafanyakazi wa serikali pesa zao, uwasamehe wafungwa kama ulivyowasamehe LOWASA, MRAMBA, KARAMAGI na mafisadi wengine , usi2tie katika mikataba feki, kwa kuwa ufisadi ...ni FANI YAKO NA WIZI NA UWONGO HATA MILELE
Amina
Amina