Sala zenu zinahitajika...

Pole mwaya,fanya na jogging mkuu yaweza kukusaidia, pia kunywa maji mengi ni tiba🙏🙏
 
maisha gani uliyopitia ndg yanayokupa mashaka!!? pole kwa kuugua,ila Rudi Tena hospl kachukue vpmo zaidi.
 
Dalili za covid ya sasa ni tofauti,kunywa dawa za mgonjwa wa covid yani doz yote nunua anza kutumia itakusaidia sana
 
Pole sana kunywa vinywaji vya uvugu vugu kunywa Apsrin badala ya panadol
 
Ahsanteni sana wote mlioniombea, na kunitakia Afya njema...kiukweli naendelea vizuri, Mungu ni mwema, mbarikiwe sana
 
Kwa uandishi huu Inaonyesha kuwa umeshapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…