Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu hiko kipimo Cha damuHapana mkuu
maisha gani uliyopitia ndg yanayokupa mashaka!!? pole kwa kuugua,ila Rudi Tena hospl kachukue vpmo zaidi.Ndugu zangu wana Jf.
Nyie ni familia yangu upande wa pili, leo ghafla baada ya kutoka church, hali yangu imebadilika sana....Baridi kali, [emoji1784] viungo vinauma kichwa kinauma sana na kutulia ukinigusa nina moto kama basi.
Mdogo wangu amenipeleka hospital, wakanicheck hawakuona tatizo even Covid19, wamesema nipo good. Ni homa ya kawaida hivyo, nikapewa bedrest na k unitundika chuma za maji mbili.
Hali kidogo ikatulia wameniruhusu nikapewa na Diclopa, nimefika nyumbani hali imebadirika tena now maumivu ya uti wa mgongo yanaongezeka.
Namuamini sana Mungu ila kutokana na maisha niliyopitia, nina mashaka kidogo.
Please ndugu zangu, kwa kila imani nahitaji maombi yenu ya dhati
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Dalili za covid ya sasa ni tofauti,kunywa dawa za mgonjwa wa covid yani doz yote nunua anza kutumia itakusaidia sanaNdugu zangu wana Jf.
Nyie ni familia yangu upande wa pili, leo ghafla baada ya kutoka church, hali yangu imebadilika sana....Baridi kali, [emoji1784] viungo vinauma kichwa kinauma sana na kutulia ukinigusa nina moto kama basi.
Mdogo wangu amenipeleka hospital, wakanicheck hawakuona tatizo even Covid19, wamesema nipo good. Ni homa ya kawaida hivyo, nikapewa bedrest na k unitundika chuma za maji mbili.
Hali kidogo ikatulia wameniruhusu nikapewa na Diclopa, nimefika nyumbani hali imebadirika tena now maumivu ya uti wa mgongo yanaongezeka.
Namuamini sana Mungu ila kutokana na maisha niliyopitia, nina mashaka kidogo.
Please ndugu zangu, kwa kila imani nahitaji maombi yenu ya dhati
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kile ni special kwa Wachina na wageni wataoingia nchini humo, nadhani wanatafuta madiniUlikua unataka wamtumbukize kile kipimo chao sehemu ya haja kubwa?
Humtakii mema mwenzio wewe
Hapana nimeshatoka mkuu nipo kwangu kigamboni
Kwa uandishi huu Inaonyesha kuwa umeshapona.Ndugu zangu wana Jf.