Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Mwaga mboga mzee yamebaki masaa machache tu jamaa bado kaweka ngumu, lete mkasa huo tuusome sisi tuone madudu ya Bahari yenye ukimya
 
Hapo tu wamejuwa kucheza

Ova
 
Nipo hapa sitoki nimekaa na saa standby nahesabu tu masaa. Ila sijui kama watakuacha hivi hivi. Najua unaweza ukapotea tu kimya kimya....tusipate feedback yoyote.
 
Naweka kambi hapa hapa nikisubili masaa 72 yatimie.
 
Nikuambie tu ukwlei unaouma HAKUNA KITU CHOCHOTE UTAKACHOWEZA KUMFANYA SALAA WALA NDUGU YAKE GHARIBU WALA YEYOTE ANAYEHUSIANA NAO PAMOJA NA SILENT OCEAN. pole sana Mkuu
Wewe km nani? Wewe ni MUNGU? Una uhakika na unayoyasema? Watu wakimuamulia ataishika adabu yeye na ndugu zake na ukoo wake mzima, ana nini cha kuogogwa? km ni majini watatumwa wenye nguvu kuliko aliokua nao
 
Ndugu zangu huyu Kijana anaye mshambulia boss anaitwa Eliud. Story yake inafahamika na Wafanyabiashara wengi hapa Kariakoo na yeye Boss Mwenyewe alikuwa muathirika wa Pesa alizochukua huyu Kijana.

Ni Mwaka Jana tu ELIUD Aliaminiwa Kukusanya pesa Kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo ambapo alileta habari ya kupotea Kwa Pesa hizi zaidi ya Bilioni 6 na mpaka Leo hapaja patikana muafaka kutoka Kwake Jinsi ya kulipa Pesa hizo.

Kitendo anachofanya ni kumvunjia Heshima Mitandaoni Mtu ambae sisi tumefanya nae kazi Kwa UADILIFU na UAMINIFU Kwa muda mrefu wa zaidi ya Miaka 19 Sasa mbali na kipindi Hiki Kigumu Cha CORONA tulichopitia.

Nadhani mlie karibu nae Kwa Sasa tumshauri huyu dogo aende kwenye MAMLAKA ZA SERIKALI Ili kujenga hoja ya anachomdai badala ya kuchafuana kwenye Mitandao ambapo Inaweza kumgharimu iwapo Muhusika anayemchafua nae akifuata mkondo wa sheria.

Nchi yetu Hii inaendeshwa na Sheria. Vyema akajifunza kupata haki yake Kwa kutumia Njia sahihi kuliko kumchafua Mtu.
NImeitoa Mahali hebu tupe mrejesho wa hili kwanza mkuu. Maana imebid nimtafute Sallaah kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…