To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Hakuna jambo lisilo na mwishoTatizo matajiri hawalogeki achana hawa wa mitaani ila wale wengine
Kupambana nae ni kwa namna na ujuzi wa juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna jambo lisilo na mwishoTatizo matajiri hawalogeki achana hawa wa mitaani ila wale wengine
Kupambana nae ni kwa namna na ujuzi wa juu
WaNigeria wale wa Boko haramu au wepi wale waliompa Kikongwe Urais mkuu au pana wanaigeria wengine mbona hao ni wachafu kuliko mataifa mengi Afrika..list ya matajiri Tanzania ni hao watu wa Asia .....asee wanaigeria wanajitambua Sana huwez ona huu ujinga and then mistreat patriots for over Years
Umelaaniwa ww labda kuwa na stara ya maneno kwa iyo ngozi nyuepe ndio imebarikiwa sio ,,tembea dunian uwe na exposure ya watu weupe pia ndio uje uongee hayo maneno
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Ofcourse nothing is permanent na huwa wanakuwaga na vifo vibaya na vya mateso sana yaaniHakuna jambo lisilo na mwisho
Kabisa....ila Dunia hii tunajisahau mno....Yaan mnoOfcourse nothing is permanent na huwa wanakuwaga na vifo vibaya na vya mateso sana yaani
Uyu mchumba ndio anawasumbua mtoto soft kabisa wa kumpaka oliverView attachment 2540585
SALAAH MOHAMED SAID
Weka namba ya sim,unapoishiUyu mchumba ndio anawasumbua mtoto soft kabisa wa kumpaka oliver
Ntamtafuta nikamtatue nyuziWeka namba ya sim,unapoishi
Awasiliane na wewe [emoji1]
Ova
Mwaga mboga mzee yamebaki masaa machache tu jamaa bado kaweka ngumu, lete mkasa huo tuusome sisi tuone madudu ya Bahari yenye ukimyaKwa leo sitaandika mengi.
Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.
Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June 14, 2022.
Hata kama mnasema Serikali ya sasa inawabeba basi iheshimuni japo kidogo kwa kutoifedhehesha.
Kumbuka kama ilitokea Serikali ikawafanya kuwa na adabu basi siku hazigandi.
Kumbuka kaka yenu mkubwa alikuwa akifanyia wanadamu wenzie ukatili lakini alimwagiwa tindikali na haohao mnaowaona wanyonge, na sasa anaishi kama panya maana haonekani in Public.
Najua mambo yote kampuni yenu inayofanya hapo kariakoo, hivyo masaa 72 yakipita bila kutafuta suluhu na kumpa huyo kijana Haki yake basi nitaaanika kila kitu hapa hadharani.
Naamini nikishaanika itakuwa aibu kwako na kampuni yako, hata kama Serikali ya sasa haitawachukulia hatua basi dunia itakuwa imejua mnayofanya gizani.
Vilevile mtapoteza heshima mliyonayo kama Silent Ocean kwa watu wasiowajua.
Na taarifa zenu tutamkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, hata akipelekewa na asichukue hatua kwa kampuni yenu zitakuwa zimeingia kwenye record za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mengi nitaandika baada ya hayo masaa 72 kama utaendelea kuufanya moyo wako mgumu. Naamini juhudi zote za kidiplomasia zimekwishafanyika na umepuuza eti kwa kutamba hivi sasa serikali ni ya kwenu.
Tunakubali na kujua hayo yote brother, ila nikueleze huo unafiki wenu wa kujidai watu wema mbele za wanadamu huku mkiwatendea Watanzania hiyana basi una mwisho wake.
Hapo tu wamejuwa kuchezaMimi nachowapendea silent ocean ,huduma zao hazina longo longo , moja ya kampuni zenye huduma Bora kabisa , customer care iliyotukuka , wanatoa taarifa Kwa wakati , kama wanakwepa Kodi ili waendelee kutoa huduma Bora kwangu ni Sawa tuu, kuliko kutoa Kodi alafu hela zinachotwa na wahuni wachache .... Mnabaki kuwa na huduma mbovu....istoshe hii dunia imejaa dhuluma na uonevu kila Mahali na ushirikina uliotukuka
Hahaha [emoji38] sawa mwambaNtamtafuta na nikamtatue nyuzi
Nipo hapa sitoki nimekaa na saa standby nahesabu tu masaa. Ila sijui kama watakuacha hivi hivi. Najua unaweza ukapotea tu kimya kimya....tusipate feedback yoyote.Kwa leo sitaandika mengi.
Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.
Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June 14, 2022.
Hata kama mnasema Serikali ya sasa inawabeba basi iheshimuni japo kidogo kwa kutoifedhehesha.
Kumbuka kama ilitokea Serikali ikawafanya kuwa na adabu basi siku hazigandi.
Kumbuka kaka yenu mkubwa alikuwa akifanyia wanadamu wenzie ukatili lakini alimwagiwa tindikali na haohao mnaowaona wanyonge, na sasa anaishi kama panya maana haonekani in Public.
Najua mambo yote kampuni yenu inayofanya hapo kariakoo, hivyo masaa 72 yakipita bila kutafuta suluhu na kumpa huyo kijana Haki yake basi nitaaanika kila kitu hapa hadharani.
Naamini nikishaanika itakuwa aibu kwako na kampuni yako, hata kama Serikali ya sasa haitawachukulia hatua basi dunia itakuwa imejua mnayofanya gizani.
Vilevile mtapoteza heshima mliyonayo kama Silent Ocean kwa watu wasiowajua.
Na taarifa zenu tutamkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, hata akipelekewa na asichukue hatua kwa kampuni yenu zitakuwa zimeingia kwenye record za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mengi nitaandika baada ya hayo masaa 72 kama utaendelea kuufanya moyo wako mgumu. Naamini juhudi zote za kidiplomasia zimekwishafanyika na umepuuza eti kwa kutamba hivi sasa serikali ni ya kwenu.
Tunakubali na kujua hayo yote brother, ila nikueleze huo unafiki wenu wa kujidai watu wema mbele za wanadamu huku mkiwatendea Watanzania hiyana basi una mwisho wake.
Ni mfumo aisee kama huwa unapita kwenye jukwaa la Jamii intelligence kuna uzi unaitwa Dark Days 17/03 kuna mambo ya kutisha yameandikwa mleNchi imekuwa ya walanguzi nae anakenua tu,, ovyo kabisa
Naweka kambi hapa hapa nikisubili masaa 72 yatimie.Kwa leo sitaandika mengi.
Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.
Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June 14, 2022.
Hata kama mnasema Serikali ya sasa inawabeba basi iheshimuni japo kidogo kwa kutoifedhehesha.
Kumbuka kama ilitokea Serikali ikawafanya kuwa na adabu basi siku hazigandi.
Kumbuka kaka yenu mkubwa alikuwa akifanyia wanadamu wenzie ukatili lakini alimwagiwa tindikali na haohao mnaowaona wanyonge, na sasa anaishi kama panya maana haonekani in Public.
Najua mambo yote kampuni yenu inayofanya hapo kariakoo, hivyo masaa 72 yakipita bila kutafuta suluhu na kumpa huyo kijana Haki yake basi nitaaanika kila kitu hapa hadharani.
Naamini nikishaanika itakuwa aibu kwako na kampuni yako, hata kama Serikali ya sasa haitawachukulia hatua basi dunia itakuwa imejua mnayofanya gizani.
Vilevile mtapoteza heshima mliyonayo kama Silent Ocean kwa watu wasiowajua.
Na taarifa zenu tutamkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, hata akipelekewa na asichukue hatua kwa kampuni yenu zitakuwa zimeingia kwenye record za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mengi nitaandika baada ya hayo masaa 72 kama utaendelea kuufanya moyo wako mgumu. Naamini juhudi zote za kidiplomasia zimekwishafanyika na umepuuza eti kwa kutamba hivi sasa serikali ni ya kwenu.
Tunakubali na kujua hayo yote brother, ila nikueleze huo unafiki wenu wa kujidai watu wema mbele za wanadamu huku mkiwatendea Watanzania hiyana basi una mwisho wake.
Wewe km nani? Wewe ni MUNGU? Una uhakika na unayoyasema? Watu wakimuamulia ataishika adabu yeye na ndugu zake na ukoo wake mzima, ana nini cha kuogogwa? km ni majini watatumwa wenye nguvu kuliko aliokua naoNikuambie tu ukwlei unaouma HAKUNA KITU CHOCHOTE UTAKACHOWEZA KUMFANYA SALAA WALA NDUGU YAKE GHARIBU WALA YEYOTE ANAYEHUSIANA NAO PAMOJA NA SILENT OCEAN. pole sana Mkuu
Ndugu zangu huyu Kijana anaye mshambulia boss anaitwa Eliud. Story yake inafahamika na Wafanyabiashara wengi hapa Kariakoo na yeye Boss Mwenyewe alikuwa muathirika wa Pesa alizochukua huyu Kijana.Kwa leo sitaandika mengi.
Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.
Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June 14, 2022.
Hata kama mnasema Serikali ya sasa inawabeba basi iheshimuni japo kidogo kwa kutoifedhehesha.
Kumbuka kama ilitokea Serikali ikawafanya kuwa na adabu basi siku hazigandi.
Kumbuka kaka yenu mkubwa alikuwa akifanyia wanadamu wenzie ukatili lakini alimwagiwa tindikali na haohao mnaowaona wanyonge, na sasa anaishi kama panya maana haonekani in Public.
Najua mambo yote kampuni yenu inayofanya hapo kariakoo, hivyo masaa 72 yakipita bila kutafuta suluhu na kumpa huyo kijana Haki yake basi nitaaanika kila kitu hapa hadharani.
Naamini nikishaanika itakuwa aibu kwako na kampuni yako, hata kama Serikali ya sasa haitawachukulia hatua basi dunia itakuwa imejua mnayofanya gizani.
Vilevile mtapoteza heshima mliyonayo kama Silent Ocean kwa watu wasiowajua.
Na taarifa zenu tutamkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, hata akipelekewa na asichukue hatua kwa kampuni yenu zitakuwa zimeingia kwenye record za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mengi nitaandika baada ya hayo masaa 72 kama utaendelea kuufanya moyo wako mgumu. Naamini juhudi zote za kidiplomasia zimekwishafanyika na umepuuza eti kwa kutamba hivi sasa serikali ni ya kwenu.
Tunakubali na kujua hayo yote brother, ila nikueleze huo unafiki wenu wa kujidai watu wema mbele za wanadamu huku mkiwatendea Watanzania hiyana basi una mwisho wake.
Masaa yanayoyoma tunasubiri maelezo yako na huo USHAHIDI tukiwa hapanimeahidi kuweka wazi baada ya masaa 72.