Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Ndio ilivyo na Mhindi anajua biashara hiyo ni zaidi ya 150 B bado kuna tambi, Majani ya Chai, Sukari, Mafuta ya kula. Huyu hater wa MO anazuzuka na Magari ya Bakheresa barabarani na Azam TV

SSB ana scania za kutosha mkuu ,MO bidhaa nyingine yeye ni chinga tu anabandika label,mmoja wa wazalishaji ,nasemaje mzalishaji wa sukari ni SSB ,MO ni chinga tu wa sukari ,ni kama bidhaa za umeme za mo ,yeye anabandika label ,ni sawa na wauza cover wa k/koo wanaotoa china wanaweka lable zao.
 
Pole sana kwa chuki na MO. Wiki iliyopita kachukuwa tuzo 3 na Waziri Mkuu ndiye aliyemkabidhi Hassan Deji Mkurugenzi wa HR Dept. na Kwa Ishu ya mali za Bakheresa kuna mali zingine ni za viongozi wa Serikali
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Sasa MO mbona hayo magari naye anayo kibao tu, halafu ndio maana nimesema wewe upeo wako wa kufikiri bado ni mdogo sana hivi na wewe unazuzuka na magari? wakati huyo Bakheresa huwa anapewa mkopo wa magari hata 100? Sijui Wewe ni Me au Ke ?
Unaidharau sukari, tambi na kiberiti anachouza MO wakati hicho ndio kinaingiza hela nyingi kuliko hata hayo Malori ya Bakheresa unayoyaona huko barabara
 
Hayo masaa 72 bado tu?
 
Kuna umaarufu wa jina kutokana na kuanza biashara zamani na kuna utajiri kutokana na kupata faida nyingi kwenye biashara. Kipi na kipi hapa.!?
 
Kumbe ni Mwanayanga, basi nishaelewa chuki zake zimesababishwa na nini

Mo alisema juzi kuwa anatengeneza chupa bilioni 1 za vinywaji
 
Bakhresa vitu vyake vyote vipo kwenye brand moja ya azam, ila mo ana viwanda na brand na biashara nyingi sana.

Mo kama mzalishaji
mafuta ya nyumbani
-mafuta maisha
-mafuta safi
-blueband mo margarine
-mafuta mpishi
-mafuta sunflower

vinywaji
-maji ya maisha
-maji masafi
-juice za pride
-soda za mo

nguo
-hakuna kampuni kubwa ya nguo kusini mwa jangwa la sahara kushinda metl. wana viwanda karibia kila mkoa wakitengeneza bidhaa za kanga na vitenge.

Vyakula
-unga wa ngano
-sukari
-korosho (mo cashew)

baiskeli
hapa kuna baisikeli za kawaida na za miguu mitatu za NABICO

mafuta ya magari
kampuni ya mo ya star oil ni moja ya wasambazaji wakubwa wa mafuta. uwezo wa lita milioni 5 kwa siku.

sabuni
-sabuni za royal
-sabuni za taifa
-sabuni za poa

mo kama mfanya biashara anaeagiza vitu nje
-agent wa LG tanzania analeta vitu kama mashine za kufulia, oven, mafridge na bidhaa nyengine za lg
-Agent wa TCL tanzania na TV zake
-analeta mitumba ya nguo
-AC za airlux
-battery za remote
-tractor za kulimia
-na mengine mengi kama big G, biscuit, tambi etc

mo kama muuzaji vitu nje ya nchi
jamaa anauza vitu vingi sana nje ya nchi kama
-katani
-korosho
-mbao
-nta
-choroko
-bidhaa nyengine tulizozitaja juu.

angalia hio diversity then compare na bakhresa.

Usipoelewa hapa basi Wewe utakuwa na shida
 
Hapo umemaliza kila kitu
 
Nasikia Mo ndio authorised importer wa pikipiki Boxer na muuzaji nje wa Alizeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…