Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Ndiyo maana nimekwambia MO kuna baadhi ya bidhaa ni mmachinga anabandika label ,kubandika label bidhaa hata wamachinga wa kwenye vizimba pale machinga complex wanafanya.

MO pia ni mchuuzi ,tajiri hafanyagi uchuuzi ,tajiri anafanya production ,ilitakiwa awe na mashamba ya mbao au hata mashamba ya korosho na % ya raw materials itoke kwenye mashamba yake na si kwenda kuwabana wakulima kwa bei ya kimagumashi.

Ebu pitia investement ya SSB kwenye Sukari ,ametia B$ ndani ya miaka mitatu bila bidhaa sokoni na anawalipa wafanyakazi bila bidhaa sokoni,miaka mitatu ya maandalizi tu ya products ambapo TAPELI Mo hawezi kufanya hizyo yeye atakachofanya ni kwenda kuweka label kwenye sukari na kula cha juu na kuingiza kama MO.
 

MO ana Isuzu alivyoweka mabodi ya mabati ya kusambaza bidhaa mtaani ndiyo unasema Scania? Mimi nazungumzia scania ,wala siyo hivyo vigari vya kusambaza bidhaa mtaani ,tukizungumzia hivyo SSB anavyo kama mchanga...Ebu nenda TAZARA kwanza yard ya scania zake uzione kwanza....Yard ya MO ya scania ipo wapi nikacheck?
 
Masaa 72 yameisha mkuu mbona unaimba mapambio tu weka vitu watu tupate chakula cha ubongo tuna appetite toka juzi tunangoja ushushe vitu unarukaruka sema unaogopa kutupiwa majini na Salah?
Salaah anafuga majini!?
 
Kwa hio Jux, Ommy, Neddy na wengine kwenye crew wote ni upinde wa mvua? Waarabu wapemba hujuana kwa vilemba sawa tunesikia
 
Naomba niongezee hiyo bicycle siyo kuuza kama nzima anauza mpaka parts spares za bicycle

Mo ndiyo mpaka Leo hii anauza utambi wa koroboi na koroboi yenyewe
 
Nimevua kofia mo hatari
 
Azam ni tagiri aisee, sema nini ponjoro mjanja mjanja sana na kina zuwena wanamtetea sanaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…