Mkuu usisubiri review usije ukatupiwa jini ukafa tukakosa maelezo yako tunaomba hata kabla ya review wewe weka hapa mkasa mzima, eleza mwanzo mwisho wa mkasa wako ulivyokua, ushaambiwa jamaa wana majeshi ya majini sasa wasije wakakutumia wa kwako tukakosa maelezo yako kimoja emu funguka nini kimekusibu hadi hawa mabwana GSM na Bank Access kudhulumu na kupora Mali zako?Kesi ya high court imehukumiwa na judge muhuni latifa mansour ambae ana mahusiano nao na nilivyo appeal wakacheza wakaipeleka Kwa ma judge wao na watunzia heshima.
Wasipojirekebisha kwenye review hakika nitawamwaga uchafu wao wote.
Nimeona malalamiko ya mwenzetu kama binaadamu inasikitisha.
Hilo ni dogo Sana nikileta ushenzi waliyonifanyia Mimi hiyo familia ya GSM kudhulumu ardhi yangu kisa imekaa strategic na mahitaji Yao kigamboni basi nchi itazizima hii.
Mimi ni muumini wa serikali kwamba ipo na wapo serikalini watu wenye utu wa kusimamia haki za wanyonge.
Toka nimetoka gerezani Nina mwaka mmoja Kwa kesi ya kubambikiwa mauaji kisa wadhulumu ardhi yangu yenye kituo Cha mafuta na godown yenye value zaidi ya bilioni 7 Kwa kucheza deal na bank ya access na kunibambikia deni kutoka milioni 400 mpaka 1.8b Ili Kuni frustrate na wakauziana kinyemela bila kufata taratibu halali hata Moja na ushahidi wote upo Kwa familia nzima nimeutawanya Kwa serikali mbaya zaidi mahakama yote wameishika na wanasema mahakama zote zinakunywa chai salamander.
Kesi ya high court imehukumiwa na judge muhuni latifa mansour ambae ana mahusiano nao na nilivyo appeal wakacheza wakaipeleka Kwa ma judge wao na watunzia heshima.
Wasipojirekebisha kwenye review hakika nitawamwaga uchafu wao wote.
Tarehe 26/8/2021 baada ya uvamizi na kupora Mali zangu zengine zenye thamani zaidi ya milioni 500 na kutengenezewa kesi mbaya ya mauaji na GSM na vibaraka wake mapolisi na DC.kigamboni f.nyangasa.
Nimekaa gerezani keko from 4/9/21 to 18/3/22.
Nimeandika Kwa uchache tu nasubiria msaada Kwa jitihada ya mwisho tuliyoifanya kama familia kwenda mh.rais mama.
Na sisi ni waarabu wenzao na hatuogopi chochote ni Bora nife kuliko kudhulumiwa na kunyanyaswa kisa tajiri GSM dhulumaat .
Na Wala wasihangaike na Mimi vitisho vyao ni vingi kwangu mimi but siwaogopi na wanajua ninapoishi wajue siko peke yangu kesi hii mama yangu kaka zangu dada zangu na wake zangu na watoto zangu Tisa wote Wana kila evidence needed in their records.
Waziri wa mambo ya ndani na wizara yake yote wote wanajua. lolote likinipata basi watu Hawa ndiyo wahusika.
1.GSM
2.FSM
3.Silent ocean
4.said home shopping
5.na mapolisi wengi majina Nayahifadhi
Maana sijawahi kuona mpaka mawaziri wanajitoa akili kutetea dhulma ya huyu GSM na familia yake.
Tegemeo langu ni Allah(S.W)
Mh.rais Samia mama unaupiga mwingi Sana natumai malalamiko yangu uliyapata in writings and all evidence ndiyo tegemeo nililobaki nasubiri kwako na Kwa waziri mkuu mh.kassim majaaliwa.
Ahsanteni.
Hana lolote huyu. Saa 72 zitaisha na hana cha kufanya.Nipo nimekaa palee naanza kuhesabu masaa
Hana lolote huyu. Saa 72 zitaisha na hana cha kufanya.
Mbona tayariii,Masaa 72 si ndo yanatimia leo au?
Ni tagMbona tayariii,
Ameshamwaga mboga, mchuzi, kitoweo, juice na kila kitu , humu humu kwenye Uzi kafungua uzi mwingine utafteni mtaona jamaa katimiza ahadi
Soma hapaHana lolote huyu. Saa 72 zitaisha na hana cha kufanya.
Kashaweka tayari soma,5 hours remain
Ni tag
Acheni kuendekeza ushirikinaDaaahh....pole sana afu wanajifanya wachamungu kumbe wanafiki kabisaa Hawa mbwa ,wazinzi wanazaa hovyo nje kujifanya
Kweli kesho Kwa MUNGU Kuna Kazi
Ila Hawa endelea kuwasomea alamtara na tabattiyada tu Mungu atawalipa mbonaa
Masiku Yao ni machache sana ya KUFANYA DHULMA
Tindikali tuliambiwa alikula mke wa mtu,Leo mnasema dhulma
Mimi huwa ninaroga kwa kutumia Biblia, Zaburi sura ya 35.
Asante sana mkuu, kwanza pole sana kwa yanayokusibu lakini pia umeandika kwa uchache sana kinachokusibu tungeomba utuelezee kiundani ni nini kilipelekea hawa wadhulumati kudhulumu mali yako maana hii dhuluma sasa imekua sio nzuri wapo wengi wanaodhulumiwa na hawasemi popote na wengine wanaishia kuzibwa mdomo tu maana kila wanaposema hawasikilizwi na yeyote, sasa basi weka wazi nini kimetokea ni kwanini wakapora na kukudhulumu ardhi yako na kuiuza bila idhini yako?
Na katika madai yako ni nani anaepaswa kulaumiwa Bank ya Access au GSM? Au ni wote kwa pamoja baada ya kukuchezea mchezo mchafu wa kukubambikia kesi?
Emu fafanua kidogo kuna kitu ningependa kujua ilikuaje bank ya Access wakauza ardhi yako kwa GSM bila idhini yako?
Na pia unasema ulibambikiwa kesi ya mauaji na kuporwa Mali zako na Askari wanajua na GSM wanajua, emu tueleze ni nini kilifanyika ni nini hawa watu wanafanya ni uozo gani wanaufanya ambapo watu hawaujui Ila baadhi ya watu km nyinyi ambao mmepitia dhuluma zao mbaya mnaujua kua huyu mtu ni mtu mbaya sana kwa jamii?
Elezea mkuu
Ni tag
Pia ukumbuke kuwa huyo Nyangasa ambae ametajwa kuwezesha huyo mchezo alikuwa dc kipindi hicho hicho cha jpmR.i.p JPM
Bado masaa mawili yamesalia kwenye ahadi aliyotupaHana lolote huyu. Saa 72 zitaisha na hana cha kufanya.
Umepiga kwenye mshonoπππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£Kumbe Biblia ni kitabu cha uchawi ??!!
Yaani wamemuonea mno, cha kufanya amteke tu, mbona Mo alitekwaDuh, wewe sasa ndio wamekuonea sana kuliko hata huyo mleta mada