Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Brother kila kitu kitakuwa wazi humu na mitandao mengine na vyombo vyote vya habari soon.

Kiufupi ardhi yangu yenye kituo Cha mafuta ukubwa wa ekari nne Iko kwenye location nzuri Sana kama mshapiti daraja jipya la Nyerere kigamboni ukivuka depot za mafuta tu Kuna roundabout kushoto unarudi ferry kuli unaenda mji mwema na kibada Sasa lilie eneo linalo face roundabout kulikuwa na sheli JM maarufu panaitwa Kwa msomali.

Elewa kiufupi GSM waliishawishi baadhi ya maofisa wa bank wawauzie bila kufata procedure yoyote ya mnada Wala hata kufanywa current valuation report Ili ku determine forced sale value.

Walichokifanya ni kuwauzia eneo la bilioni 7 Kwa milioni 700 tena Kwa ushahidi hata hiyo milioni 700 imelipwa Kwa mfungu takriban miezi minne Sasa hiyo ni public auction?hakuna sehemu hata Moja siku hiyo waliyojifanya walifanya mnada walitangaza kwenye gazeti.

Kisheria na taratibu zote hazikufatwa na mahakama inajua haki Iko wapi ila GSM ananua hukumu.

Bank imeshiriki dhulma yote hiyo Kwa
Influence na assurance ya GSM walitumia company iitwayo RIO development ltd ambayo ndugu zake FSM na Salah ndiyo share holders.

Achana na upuuzi uliofanywa nikiwa kituo Cha polisi Kwa siku 9 kabla kusokotwa kupelekaa keko.ili kumnasua mdogo wake aliyetumia silaha anaitwa Fahad kajeruhi watu na silaha watu hao wote wameenda kutoa ushahidi hakuna hatua inachukuliwa.


Wanatumia nguvu kubwa Sana kuficha mabaya Yao hii familia Kuna watu wengi mashuhuri,waandishi wa habari na mapolisi wako kwenye payroll Yao.

Naandika Kwa ufupi tena soon documents zote na evidence zote zitakuwa mitandaoni na vyombo vyote vya habari.

Mh.rais mama ana Nia nzuri na hii nchi na muumini wa haki lakini Kuna haja watanzania tumfungue macho ajue waliyomzunguka si watu wazuri.
 
Hiki kisa nakikumbuka na hiyo station iliwahi tangazwa humu inauzwa.

Baadae ndio mkapiga a risasi, kwa sasa ni Engen
 
Wewe ulikuwa unadaiwa na bank,bank ikapiga mnada dhamana yako bila kufuata taratibu si ndio? Mimi nimeelewa hivyo.Kama ni hivyo kweli una haki yako.
Kesi iliyokupeleka gerezani ina uhusiano gani na akina Salaa?
 
Hiki kisa nakikumbuka na hiyo station iliwahi tangazwa humu inauzwa.

Baadae ndio mkapiga a risasi, kwa sasa ni Engen
Ulikuwa unatumia ID gani? Hii ID ni ya mwaka jana tu .[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pole sana mkuu

Usitumie diplomasia na sheria kudai chako kwa dhulumati.

Nenda hata Bata kule dark web hire bit men, au nenda kwa alshabab

System haiwezi kukusaidia sababu Kuna wanaofaidika nao na mnyororo wao ni mrefu.

Inasikitisha sana aisee

Unanyanyasa wwnzio Ili iweje hata kama una swali una swali kwa Mungu Gani huyo anachekelea hizo dhuluma zote unazowafanyia waja wake.
 
Alipaswa awaanike hao corrupt judges.

Hao sio watoa haki ni wakandamiza haki wanaobariki dhulma.
 
Mkuu,pole sana nakuomba na wewe utakapoona inafaa weka Uzi humu ili Serikali ione uchafu unaofanywa na hawa watu,

Nimeshangaa na DC Kigamboni F. Nyangasa nae alishiriki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…