Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Sijakataa, nimesema hauna nguvu.
Kama ungekuwa na nguvu ninakuhakikishia pasingekuwa na dhulma au uonevu,

Ninawajua na wewe unawajua Watu wangapi wanadhulumiwa na kuonewa, wengine wanatoka koo zenye Uchawi lakini hakuna wanafanya Mbele ya Watawala au hao matajiri.

Nguvu ya Mwanadamu ni zaidi ya Uchawi.
Ndio maana Watu wametengeneza silaha kama bastola.
Kwenda kwa Sangoma utapoteza muda tuu.

Nguvu isiyoongopa ni kufanya mambo Physically, mwagia tindikali, piga RISASI, wekea sumu, hivyo yaani
Haya ya mwisho ndio yenyewe.
 
Acha chuki na MO wewe, jaribu kupitia kwenye Website zao ndio utajua nani ni tajiri

Hizo website za mo wanaandika Forbes au yeye mwenyewe? Kwani wewe unashindwa kuhost website yako manyaza.com kisha ukaweka makampuni uliyonayo na bla bla bla kibao? Mimi naangalia mipango ya namba sihitaji chuki na wana.
 
Numbers don't lie mkuu! No need ya kwend TRA ,Wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani.

Mo biashara gani yake kubwa yenye investment ya kutosha? Maana nikiangalia investiment za SSB ni hatari lotta $ ,Mo amejikita kutengeza tambi,sabuni na maji tu ambapo hata Mpagazi wa twita naye anachuana naye.

Ukitaja kujua Mo ni Janja janja uliza 20B alizowekeza aliweka account gani? Angalia SSB kwenye mpira anavyoweka Bs za kutosha.
Mzee mo ana mashamba ga mkonge Tanga na morogoro. Hekta za kutosha.

Mkonge ndio unachapisha Hela zake.

Na sio hizo biashara za uchuuzi
 
Mzee mo ana mashamba ga mkonge Tanga na morogoro. Hekta za kutosha.

Mkonge ndio unachapisha Hela zake.

Na sio hizo biashara za uchuuzi

Mashamba ya mkonge amepora serikalini ,hauwezi kusema ni investiment yake ile....Yaani kwa mfano mimi niende kupora MM Steel kiujanja ujanja halafu usema nime invest $ kwenye hicho kiwanda cha nondo?
 
Numbers don't lie mkuu! No need ya kwend TRA ,Wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani.

Mo biashara gani yake kubwa yenye investment ya kutosha? Maana nikiangalia investiment za SSB ni hatari lotta $ ,Mo amejikita kutengeza tambi,sabuni na maji tu ambapo hata Mpagazi wa twita naye anachuana naye.

Ukitaja kujua Mo ni Janja janja uliza 20B alizowekeza aliweka account gani? Angalia SSB kwenye mpira anavyoweka Bs za kutosha.
Wewe huna ulijualo hebu angalia kwenye website ya metl.net na bakheresagroup.co.tz, pale utaona kwenye Makampuni ya MO kuna Firm ngapi ? na Makampuni yake yapo nchi ngapi? na Kwa Bakheresa fanya hivyo hivyo ndio utajua. Bakheresa kaajiri wafanyakazi 8,000 na MO kaajiri Wafanyakazi 27,000. Halafu Biashara ya MO ya hizo Sabuni inaingiza Pesa nyingi Kuliko Azam TV.
 
Naona. Mshabadilisha upepo wa mada.

Content wa mada saivi anachekelea watz ni wapumbavu tu na wasahaulifu.

Ni upepo utapita.

Saivi mkamdiksasi mo dewji na shoga Gani sijui kaliwa masega huko[emoji1787][emoji1787]

Watanzania ni rahisi sana kuwatawala akili[emoji1787][emoji1787]

Kubwa la maadui anakunywa kahawa ofisini kwake huku akicheka [emoji1787]
 
Jux alishawahi share na Vanessa kwa mzee wa Mjengoni, unakumbuka kuachana kwao kwa 2017, wakapatana Fiesta Dar??

Ommy dimpoz ni mke halali wa Gavana Joho, tena bila Joho ommy asingekua hai had leo. Matibabu yote kule south juu ya JOHO, afu ile RR anayotembelea uulize kaporwa demu gan had apewee yeye, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ommy yuko karibu na GSM ni km shemu wao, [emoji23][emoji23][emoji23]

Mjini hapa dyadyaa, yaan Jux na Neddy hawa wanao kulana na manager wa hotel ya kifahari pale posta lol.

Wee mlongoo mbna jux n GAY, tena wana crew yao classic. sitaki kuamini hujui.

Kumbe Yule Mtoto ni punga zeze!?

Mbona ana demu sasa?!
 
Numbers don't lie mkuu! No need ya kwend TRA ,Wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani.

Mo biashara gani yake kubwa yenye investment ya kutosha? Maana nikiangalia investiment za SSB ni hatari lotta $ ,Mo amejikita kutengeza tambi,sabuni na maji tu ambapo hata Mpagazi wa twita naye anachuana naye.

Ukitaja kujua Mo ni Janja janja uliza 20B alizowekeza aliweka account gani? Angalia SSB kwenye mpira anavyoweka Bs za kutosha.
Wewe ni hater
 
Back
Top Bottom