Sababu pekee chini ya JUA inayonifanya nifanye kazi kwa bidiii,nitafute pesa,connection,nk
Ni ili niweze ishi maisha yangu bila kuonewa na watu wa aina hiii (wenye pesa)
Najua sitoweza kuwa na pesa kuliko watu wote duniani, ila naamini kuwa na Pesa za kutosha kutanifanya nikikohoa watu waitike.
Hamna kitu sipendi na nachukia kama kuona Mnyonge anaonewa na Mwenye Pesa.
Kwa level yangu ya maisha huwa nikiona anaeonea Nam mudu huwa nanunuaga huo ugomvi.
Mimi usionee mtu mbele yangu, kama Nakumudu ujue unagombana na mimi.
Onea mtu mbele ya macho yangu kama unanizidi
Tofauti na Hapo,Mbele ya uwepo wa macho yangu huwa haonewi mtu,Maana nina njia zote za kupambana na waoneaji,
Kwa case ya salaah, Mkuu ipotezeeni Tu.