Salaam enyi Great Thinkers!!!!

Salaam enyi Great Thinkers!!!!

nasalena

Senior Member
Joined
Dec 17, 2013
Posts
146
Reaction score
36
Habarini enyi ndugu zangu wana JF!! Nafrai kuwa mmoja wa JF member kwa sababu
1. Ni mali ya Watanzania halisi yenye lugha yetu halisi(Kiswahil)
2.Ni mahali ambapo palinipa, Pananipa na nnaamin patanipa Ujuzi,Maarifa tangu 2011.
3.Stress mingi zimekua solved hapa bila kusahau burudan tosha
IDUMU JF???
 
Karibu JF.
 
Ndio...haya karibu saana hapani nyumbn kwako mzee..ila ukiwa kmya itabidi tu ujiondoe..uchangamke sawa?
 
Back
Top Bottom