nasalena
Senior Member
- Dec 17, 2013
- 146
- 36
Habarini enyi ndugu zangu wana JF!! Nafrai kuwa mmoja wa JF member kwa sababu
1. Ni mali ya Watanzania halisi yenye lugha yetu halisi(Kiswahil)
2.Ni mahali ambapo palinipa, Pananipa na nnaamin patanipa Ujuzi,Maarifa tangu 2011.
3.Stress mingi zimekua solved hapa bila kusahau burudan tosha
IDUMU JF???