Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 165
- 450
Yaani huku ni baridi sana na watoto wa huku mambo mengi. Imagine saa hizi ngoma inagonga negative degrees, yaani muhuni najiboost kwa bacardi tu. Hebu nipeni mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa 12 jioni. Nipo KalamazooNi saa ngapi huko kwa Sasa?
Una account ngapi mkuu jf?Saa 12 jioni. Nipo Kalamazoo
Mkuu mwenyewe nipo confused, maybe ni mambo ya multiple idNimeshindwa kuelewa Au Mama Jane Kaamua kutoa location yake jamaaa akajipashie joto la mwili.
Kukikucha itafahamika tu 😁Mkuu mwenyewe nipo confused, maybe ni mambo ya multiple id
Sihusiani na hiyo ID na location sitazungumziaNimeshindwa kuelewa Au Mama Jane Kaamua kutoa location yake jamaaa akajipashie joto la mwili.