Salaam SK- Harmonize bifu hilo kwio

Wbc managers,akili zao wanazijua wenyewe. Bifu la nini wakati Harmonize alishawalipa chao ?Au ndo walitaka waendelee kumnyonya ?Na hivi Magu kadhibiti wauza ganda Sallam ndo hana chake kabisa,na Coronavirus nayo ikaja kupigilia msumari.
🤔 huwa nafatilia post zako inaonekana unajua vitu vingi vya dili dili na ishu zingine
 
Harmonize amejaribu sana kuenda sawa na wenzake aliowaacha WCB lakini jamaa wamejenga chuki kubwa dhidi yake.
Namshauri Harmo hizo bifu zisimpotezee muda aendelee kuchapa kazi
Tatizo Boss wao ukiondoka anakuchukia na hataki waliobaki wawasiliane nawe
 
Sallam mwenyewe ban ya kwenda marekani imeisha mwaka juzi,alikuwaga na ban kwa kuwa kwenye list ya washukiwa wa ugaidi ubalozi wa marekani sept 11 dar na nairobi
Wbc managers,akili zao wanazijua wenyewe. Bifu la nini wakati Harmonize alishawalipa chao ?Au ndo walitaka waendelee kumnyonya ?Na hivi Magu kadhibiti wauza ganda Sallam ndo hana chake kabisa,na Coronavirus nayo ikaja kupigilia msumari.
 
Mkuu ndo hivo ,hao huwa najiuliza wamelipwa kutetea chama humu au vipi maana siyo kwa mahaba yale
Naona unataka matusi kutoka kwa wafia chama
 
Mkuu umemaliza , naona mijitu inamponda Tu sallam lakn hatujui nyuma ya pazia , moja ya nguzo kuu ya WCB ni Mr Sallam , na huwez jua how konde gang wanafight kumwangusha mshikaji ila wapave the way , istoshe Harmonize amekuwa akimshutum vikali Sallam indirect na direct kuputia account zake za wambea za Instagram , mambo ni meng mda hautoshi ....
 
Sawa ata africa iliachwa kuwa huru , lakini yanayotokea wote tunayashuhudia
Kuna Usemi naupendaga sana uliokua unatumika kwenye harakati za kutafuta uhuru ulikua unasema
" It is Better to die on yo feet rather than to live on yo knees"
Ni Afafhali Ufe Ukiwa Umesimama kwa miguu yako kuliko kuishi maisha ya kuwapigia watu magoti na kuwalamba miguu!

Imagine tungekua bado tunatawaliwa na wakoloni, walete maendeleo ya kila namna Lakini bado tuwe tunafungwa minyororo, tunauzwa kama watumwa n.k.... na hata katika hayo maendeleo kazi ngumu zote ni lazima tungezifanya sisi tena kwa kupigwa mijeledi, kwa jasho kwa damu na vifo
Hayo maendeleo yangekua yanatufaidisha nini sisi?

Uhuru ndo kila kitu, haya yanayotokea Acha Yatokee yanayoendelea Acha yaendelee tutapambana nayo mpaka mwisho wake ukifika mambo yatakua shwari!
Kikubwa tuko huru!

Hata Hamo kama Ameona kule Alikua Anatumia nguvu nyingi lakini Alikua hafaidiki wacha mtu Asimame kwa miguu yake bwana changamoto hazikosekanagi kwenye maisha
Kikubwa yuko huru na kazi zake mziki wake na kipato chake!
 
bora hata sk amekataa mkono wa harmo kuna sie huku mitaani bwana hata kuangaliana usoni haiwezekani..ila sikwakuwa hao ni macelebriti ila mtaani kuna bifu mpaka unaomba msamaha
 
mwisho wa siku wale wanajuana sie wengne tukae pembeni tu ...ndo haya kuanza kufatilia ugomvi wa penzi la anti na dancer mwisho wake wambea wakaumbuka..wanajuana wale tufanye yetu tu
 
tusisahau mziki ni sehemu inayohtaji sana fedha na sio tofauti...tukumbuke tu harmo tulikuwa hatumjui alisaidiwa na dai...tuwe wapole pia...kama hatukuchangia walau 200 ya kuendesha mziki wa harmo
 
Wbc managers,akili zao wanazijua wenyewe. Bifu la nini wakati Harmonize alishawalipa chao ?Au ndo walitaka waendelee kumnyonya ?Na hivi Magu kadhibiti wauza ganda Sallam ndo hana chake kabisa,na Coronavirus nayo ikaja kupigilia msumari.
tusichokijua ni sawa na usiku wa giza..mbna lowasa alihama huku alafu akarudi ..lakini siri wanajua wenywe hao...mengne tuyaangalie tuyaache tu
 
ingekuwa msiba wa kawaida nani anaweza thubutu fanya vile hata kwa adui yako na mtu kaja kukupa pole na msiba..huwezi jua yapi yako nyuma ya pazia
 
Isije ikawa kiki
 
Sallam fala tu, zee la misifa sana na limefanya makusudi ili lizungumziwe, baada ya siku kadhaa utaona linapewa interview

Baada ya konde kusepa wcb posho za mameneja zilipungua, ndo maana hilo fala limenuna ni tabia za kike
Spatacus , mnyama mkali , punguza hasira za kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…