Salaam wanaJF nikiwa Mogadishu Somalia nimepamis Nyumbani Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Salaam wanaJF nikiwa Mogadishu Somalia nimepamis Nyumbani Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Nawasalimia wajf kutoka Somalia, hakika Tembea uone. Tanzania kwetu kizuri, Huku mabomu yanauzwa sokoni kama viazi sokoni. Mungu ibarikia nchi yetu Tanzania.
Piga picha hayo mabomu yakiwa yanauzwa hapo sokoni, ili kuthibitisha hoja yako. Vinginevyo hoja yako itakuwa batili.
 
Hakuna mahali wanauza mabomu sokoni
Somalia ina Rais ila matatizo ni mengi
Wewe umeenda somalia ya wapi maana mimi kwenye bucket list yangu ilikuwemo Mogadishu na kweli nilienda ikiwa nchi ya nne kufika na list ikaongezeka sana
Wana beach safi sana inaitwa Lidho na pia soko lao kuu linaitwa Bakara
Sasa wewe ulienda sehemu gani kwenye mauzo hayo ?
 
Back
Top Bottom