Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
- Thread starter
- #41
Faiza uko pande zipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faiza uko pande zipi
Tukuyu vp?Nawasalimia wajf kutoka Somalia, hakika Tembea uone. Tanzania kwetu kizuri, Huku mabomu yanauzwa sokoni kama viazi sokoni. Mungu ibarikia nchi yetu Tanzania.
OkNitaenda hata motoni lakini sio Somalia.
Hawezi jibu! Porojo ni asili yetuHakuna mahali wanauza mabomu sokoni
Somalia ina Rais ila matatizo ni mengi
Wewe umeenda somalia ya wapi maana mimi kwenye bucket list yangu ilikuwemo Mogadishu na kweli nilienda ikiwa nchi ya nne kufika na list ikaongezeka sana
Wana beach safi sana inaitwa Lidho na pia soko lao kuu linaitwa Bakara
Sasa wewe ulienda sehemu gani kwenye mauzo hayo ?
Na kweli, watu huwa wanajifurahishaHawezi jibu! Porojo ni asili yetu