Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Yanauzwa sokoni... Aisee.Nawasalimia wajf kutoka Somalia, hakika Tembea uone. Tanzania kwetu kizuri, Huku mabomu yanauzwa sokoni kama viazi sokoni. Mungu ibarikia nchi yetu Tanzania.
Yaani CCM wakitaka kusema jambo lao huanzia mbali Sanaπππhabari za namtumbo..?
Umetumwa mkuuhabari za namtumbo..?
umeenda lini huko mkuu?Nawasalimia wajf kutoka Somalia, hakika Tembea uone. Tanzania kwetu kizuri, Huku mabomu yanauzwa sokoni kama viazi sokoni. Mungu ibarikia nchi yetu Tanzania.
HahaaaaaaaaNaomba ukirudi nibebee ka bomu ka afta tatu
Hhahahaaaaaaaaa kuwa mzalendo mkuuYaani CCM wakitaka kusema jambo lao huanzia mbali Sanaπππ
Nawajua... Ndiyo wenye ule msemo wa "kama hujui kufa, chungulia Kaburi" πππHhahahaaaaaaaaa kuwa mzalendo mkuu
Piga picha hayo mabomu yakiwa yanauzwa hapo sokoni, ili kuthibitisha hoja yako. Vinginevyo hoja yako itakuwa batili.Nawasalimia wajf kutoka Somalia, hakika Tembea uone. Tanzania kwetu kizuri, Huku mabomu yanauzwa sokoni kama viazi sokoni. Mungu ibarikia nchi yetu Tanzania.
Mweumeenda lini huko mkuu?
Nimecheka kwa sauti kuuuuuNawajua... Ndiyo wenye ule msemo wa "kama hujui kufa, chungulia Kaburi" πππ