Salaam wanaJF nikiwa Mogadishu Somalia nimepamis Nyumbani Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Ipendi nchi Yako mkuu nilitembelea Kismayu, ladwa na Lodhil hakika Tembea uone ila Jiji la Mogadishu hapo wamejitahidi japo uharamia japo sio saaana.
 
Ipendi nchi Yako mkuu nilitembelea Kismayu, ladwa na Lodhil hakika Tembea uone ila Jiji la Mogadishu hapo wamejitahidi japo uharamia japo sio saaana.
Kutembea na kutalii napenda kuona mila na desturi za wenzetu, hongera sana
Hata jirani yao pazuri pia nimeenda Addis pia pako vizuri
 
Hongera sana kwa kutembea Nchi za Nje , naamini unajifunza mengi sana .
Upo huki kibiashara au kikazi,.
Huko Somalia kuna fursa gani Mtanzania anaweza kuzipata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…