Hakuna mahali wanauza mabomu sokoni
Somalia ina Rais ila matatizo ni mengi
Wewe umeenda somalia ya wapi maana mimi kwenye bucket list yangu ilikuwemo Mogadishu na kweli nilienda ikiwa nchi ya nne kufika na list ikaongezeka sana
Wana beach safi sana inaitwa Lidho na pia soko lao kuu linaitwa Bakara
Sasa wewe ulienda sehemu gani kwenye mauzo hayo ?