Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya lini hiyo Swahiba?Kupitia account yake ya Twitter na facebook Amesema atakuwepo kama kawaida
Jana tu swahibaYa lini hiyo Swahiba?
Sababu jana imetembea kweli kwamba atauguza bega ndani ya wiki 07 hadi 08 hali ambayo ilionyesha kwamba atakosa World Cup au walikuwa wanatuchota akili zetu?
Ooh. Kwa kuwa kaandika mwenyewe basi itakuwa ndio habari za kweli kabisa hizo.Jana tu swahiba
Mbona kaandika kabisa kwenye account ya twitter kuwa atakuwepo.
Atapona elewa hivyo washamwita manyau manyauYa lini hiyo Swahiba?
Sababu jana imetembea kweli kwamba atauguza bega ndani ya wiki 07 hadi 08 hali ambayo ilionyesha kwamba atakosa World Cup au walikuwa wanatuchota akili zetu?
Hii hapaOoh. Kwa kuwa kaandika mwenyewe basi itakuwa ndio habari za kweli kabisa hizo.
Ila Swahiba huwezi amini kwa lile tukio nilijikuta namchukia Sergio Ramos ghafla aiseee. Japokuwa nilikuwa team Madrid. Teh.
Hahaaa. Lol.Atapona elewa hivyo washamwita manyau manyau
Ewaaaaaaa. Shukrani sana Swahiba hata na mie nimepata ahueni sababu iliniuma kiukweli.Hii hapa
Uyo Ramos tangu kitambo hiyo ndo michezo yake, kupewa red card kwake kawaida tu. View attachment 788107
Nikweli kabisa. Huyu salah msimu huu kajitahidi sanaa hakupaswa kufanyiwa hivi, Ingawaa ni mchezo ila kivile.Ewaaaaaaa. Shukrani sana Swahiba hata na mie nimepata ahueni sababu iliniuma kiukweli.
Kuumia ni sehemu ya mchezo ila anapoifanya mtu kwa makusudi huwa inakera sana aiseee.
Umeonaeee. Wengi tulitarajia kuona kitu kutoka kwake ndani ya hii World Cup ijayo.Nikweli kabisa. Huyu salah msimu huu kajitahidi sanaa hakupaswa kufanyiwa hivi, Ingawaa ni mchezo ila kivile.
Hata mimi niliumia sana kuona vile ingawa ni team Man U
Wameshampunguza kasi hawa,Umeonaeee. Wengi tulitarajia kuona kitu kutoka kwake ndani ya hii World Cup ijayo.
Ila wacha tusubiri tuone hiyo World Cup ikifika kama kweli atakuwa fit kwa asilimia zote.
Hahahaaaa. Hapana mie team Germany Swahiba.Wameshampunguza kasi hawa,
Kwahiyo swahiba world cup upo na Misri sio?