Salah kukosa World Cup 2018 RUSSIA

Salah kukosa World Cup 2018 RUSSIA

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
33657364_2096762037268103_2848062886369034240_n.jpg
 
Ya lini hiyo Swahiba?

Sababu jana imetembea kweli kwamba atauguza bega ndani ya wiki 07 hadi 08 hali ambayo ilionyesha kwamba atakosa World Cup au walikuwa wanatuchota akili zetu?
Jana tu swahiba

Mbona kaandika kabisa kwenye account ya twitter kuwa atakuwepo.
 
Ooh. Kwa kuwa kaandika mwenyewe basi itakuwa ndio habari za kweli kabisa hizo.

Ila Swahiba huwezi amini kwa lile tukio nilijikuta namchukia Sergio Ramos ghafla aiseee. Japokuwa nilikuwa team Madrid. Teh.
Hii hapa

Uyo Ramos tangu kitambo hiyo ndo michezo yake, kupewa red card kwake kawaida tu.
Mo.jpeg
 
Ewaaaaaaa. Shukrani sana Swahiba hata na mie nimepata ahueni sababu iliniuma kiukweli.

Kuumia ni sehemu ya mchezo ila anapoifanya mtu kwa makusudi huwa inakera sana aiseee.
Nikweli kabisa. Huyu salah msimu huu kajitahidi sanaa hakupaswa kufanyiwa hivi, Ingawaa ni mchezo ila kivile.

Hata mimi niliumia sana kuona vile ingawa ni team Man U
 
Nikweli kabisa. Huyu salah msimu huu kajitahidi sanaa hakupaswa kufanyiwa hivi, Ingawaa ni mchezo ila kivile.

Hata mimi niliumia sana kuona vile ingawa ni team Man U
Umeonaeee. Wengi tulitarajia kuona kitu kutoka kwake ndani ya hii World Cup ijayo.

Ila wacha tusubiri tuone hiyo World Cup ikifika kama kweli atakuwa fit kwa asilimia zote.
 
Umeonaeee. Wengi tulitarajia kuona kitu kutoka kwake ndani ya hii World Cup ijayo.

Ila wacha tusubiri tuone hiyo World Cup ikifika kama kweli atakuwa fit kwa asilimia zote.
Wameshampunguza kasi hawa,

Kwahiyo swahiba world cup upo na Misri sio?
 
Siamini kama Angefanya la ajabu kwenye kombe la dunia...
 
Back
Top Bottom