Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 165
- 450
Sijawahi kutoa damu ila kwa hii hela mimi niogope kutoa damu iliweje. Fikiria ukitoa damu unapata dola 10. Nikitoa mara kumi nakuwa na dola 100.
Sasa chukua dola mia, nikienda kumuua Yanga akicheza na Tabora hiyo hela itakuwa sh ngapi?
Haya bado pia hapo nakuwa nimeingia kwenye bahati ya kujishindia 7000. Sasa iwe kama zali niwe mshindi wa hela hiyo, halafu nikatupia yote kwenye kubeti kwa kumuua Man U, bado sijawa tajiri nikaja kuwasumbua mjini huko.
Naenda kutoa damu kila siku chupa moja. Sitaki ushauri.
Salaam Kutoka Marekani.