Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 165
- 450
Nitaingia kwenye draw ya kushinda mkwanja au ndio hiyohiyo tu?Sawa na Tsh. 27,000/-
Unao uwezo wa kuchangia x 4/mwaka kama wa kiume.
Ukirudi Tz changia damu pia nitakulipa.
Taja nyongeza unayoitaka, ntaipa jina la draw. Uwe na uhakika wa kushinda.Nitaingia kwenye draw ya kushinda mkwanja au ndio hiyohiyo tu?
Taja kituo wadau tuanze kumiminika!Taja nyongeza unayoitaka, ntaipa jina la draw. Uwe na uhakika wa kushinda.
We jamaa sidhani kama una utimamu kichwani, changia siku mbili mfululizo uone utajavyo umwa, ni mara moja kwa miezi mitatu.Sijawahi kutoa damu ila kwa hii hela mimi niogope kutoa damu iliweje. Fikiria ukitoa damu unapata dola 10. Nikitoa mara kumi nakuwa na dola 100.
Sasa chukua dola mia, nikienda kumuua Yanga akicheza na Tabora hiyo hela itakuwa sh ngapi?
Haya bado pia hapo nakuwa nimeingia kwenye bahati ya kujishindia 7000. Sasa iwe kama zali niwe mshindi wa hela hiyo, halafu nikatupia yote kwenye kubeti kwa kumuua Man U, bado sijawa tajiri nikaja kuwasumbua mjini huko.
Naenda kutoa damu kila siku chupa moja. Sitaki ushauri.
View attachment 3152566
Salaam Kutoka Marekani.
Sawasawa geniusWe jamaa sidhani kama una utimamu kichwani, changia siku mbili mfululizo uone utajavyo umwa, ni mara moja kwa miezi mitatu.
Mimi ni genius ndiyoSawasawa genius
Ndio maana nimekuita genius mkuu, hauna haja ya kusisitizaMimi ni genius ndiyo
Muhimu sanaKama utaweka betting ya kumuua utopolo nakusapoti toa damu.