Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 165
- 450
Katika harakati za kubeba boksi nikakutana na mama mmoja wa kitasha.
Kimsingi kuna kitu nilikuwa nahitaji ila nilipungukiwa cash na sikuwa na card.
Nikamwambia isiwe kesi niwekee nitakuja kuchukua. Yule mama akaweka label, mimi katika harakati zangu baadae nilipotezea kwenda kuchukua kile kitu.
Yule mama akanicheki, ratiba zangu zikawa ngumu sana, baadae nikamwambia nisizuie wenye uhitaji, nikaruhusu kukikosa.
Yule mama akasema njoo siku unayotaka utakuta kitu chako siwezi kumpa mtu.
Basi nikafanya harakati baada ya mwezi nikaibuka. Ikabidi nimuulize kwanini amepambania sana mimi kupata kitu maana wengi walikuwa na uhitaji.
Akanambia kuna watanzania wamemfanyia poa sana, na katika ahadi zake ni kuwatendea poa watanzania wengine watakaofika Marekani.
Nikasema dua, nikaanza kubonga naye story za mikoa aliyotembelea Tanzania akasifu sana TZ kwa ukarimu.
Akanisistiza kuwa huru kwake. Nikamwambia siwezi kuwa huru sana, mimi ni mbantu nna mambo mengi kichwani.
Ila kiufupi amesifu sana ukarimu wa watanzania kwa wageni, japo yeye alikuja huko miaka mingi iliyopita. Dua sana kwa mlioweka misingi.
Salamu Kutoka Marekani
Chaaa!