Salam za Eid al-Adha kwa wana jamii forum kutoka Sauti Moja Festival!

Salam za Eid al-Adha kwa wana jamii forum kutoka Sauti Moja Festival!

Joined
May 8, 2023
Posts
19
Reaction score
41
Tunawapongeza kwa sikukuu hii ya kipekee, inayotukumbusha umuhimu wa kujitolea, imani, na mshikamano. Tunawatakia baraka nyingi, afya njema, na amani tele katika kipindi hiki cha Eid. Tunatumaini mnafurahia sherehe hizi pamoja na familia na marafiki, huku mkikumbuka umuhimu wa kusaidiana na kuwa na huruma kwa wote. Eid Mubarak!
 
Back
Top Bottom