Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweka na Tangaso hapa!
Watakaokuja Moshi Kuna Chuo Kimefunguliwa pale karibu na kwa Msee Macha
Kinatangasa Kosi Zifuatazo
NB: Wahini nafasi ni chache , upendeleo maalum upo kwa wale wachaga ambao hawakuzaliwa Moshi, na bahati Mbaya hawana nyumba Migombani
- Ubahili Miezi 3
- Ulevi Miezi 3
- Kutafuta pesa miezi 6
- Kuacha wake Kijijini kwa wazazi -Miezi 2
- Kuendesha Piki Piki Mwezi 1
- Kusogeza mipaka shamba la jirani hii wiki 2
Mawasiliano andika uchaganimbokoni@chaga.ac.tz
Mwambie aje nimtie kibiriti! Niko hell hapa namsubiri! Agrrrrrrr!
nilisahau kumalizia hasira ilizidi.....
go tu hell and Xpin is wating eagerly to light u up!!!!
haaa haaaa ahaaaa! msee mtui si unajua tena wakati huu wa krismasi hanywei nyumbani!! yeye ni full bar...nitamuwekea bill pale babylonUsiache pitia Samanga mwachie msee walau ya kunywea Xmas!
Umegusa pa moja basi? Umegusa double-double. Manake nina udau wa hizo pande mbili. LOL.hahahahaah Mazee nimekugusa hahahaha pole TGIF
Percy Sledge - When ZD Loves CHRISPIN
When ZD loves XPIN
Can't keep her mind on nothing else
SHe'll trade the world
For the good thing she's found
If he's bad she can't see it
he can do no wrong
Turn her back on her best friend
If She put him down
When ZD loves Xpin
Spend her very last dime
Tryin' to hold on to what She needs
SHe'd give up all her comfort
Sleep out in the rain
If he said that's the way it ought to be
Well, this ZD loves Xpin
I gave you everything I had
Tryin' to hold on to your precious love
Baby, please don't treat me bad
When ZD loves XPIN
Down deep in her soul
he can bring her such misery
If he plays her for a fool
SHe's the last one to know
Lovin' eyes can't ever see
When ZD loves Xpin
SHe can do no wrong
SHe can never own some other Man
Yes when ZD loves XPIN
I know exactly how She feels
'Cause baby, baby, baby, you're my world
When ZD loves CHRISPIN...............
Samahani masa sijaku-quote unisamehe kwa leo.Hii ni special dedication to my Mchumba.
mi mbona nakujuaga!!!!Usijali bht ,mimi chalenji ngumu ndio nazipenda.Hayo yote yana solution
Mshafahamiana? Kujuana kwa leta tafsiri tofauti huku Zenj!
Mshafahamiana? Kujuana kwa leta tafsiri tofauti huku Zenj!
Ama kweli waaRabu wa wapemba wanajuana kwa vilemba vyao.
Mbugani lazima mbege ihusishwe!
Ndo najiuliza hapa! Isije ikawa bht ni HE! Atauwawa mtu hapa!
Hahahaah wajua yakhe mabinti waweza kuwa wajifanya wao kwa wao kizungu waita kusagana!
shemeji unaikana hivi hivi haya bwana....