Salam za Wachagga- Xmas

Salam za Wachagga- Xmas

Naweka na Tangaso hapa!

Watakaokuja Moshi Kuna Chuo Kimefunguliwa pale karibu na kwa Msee Macha
Kinatangasa Kosi Zifuatazo


  1. Ubahili Miezi 3
  2. Ulevi Miezi 3
  3. Kutafuta pesa miezi 6
  4. Kuacha wake Kijijini kwa wazazi -Miezi 2
  5. Kuendesha Piki Piki Mwezi 1
  6. Kusogeza mipaka shamba la jirani hii wiki 2
NB: Wahini nafasi ni chache , upendeleo maalum upo kwa wale wachaga ambao hawakuzaliwa Moshi, na bahati Mbaya hawana nyumba Migombani

Mawasiliano andika uchaganimbokoni@chaga.ac.tz

Hiyo bold! Chuo chako kimefulia! Ukizaliwa tu, kozi inaanza kwa kumiminiwa vijiko kadhaa vya mbege!
 
Mwambie aje nimtie kibiriti! Niko hell hapa namsubiri! Agrrrrrrr!

nilisahau kumalizia hasira ilizidi.....
go tu hell and Xpin is wating eagerly to light u up!!!!
 
Usiache pitia Samanga mwachie msee walau ya kunywea Xmas!
haaa haaaa ahaaaa! msee mtui si unajua tena wakati huu wa krismasi hanywei nyumbani!! yeye ni full bar...nitamuwekea bill pale babylon
 
Mimi nashukuru kwa salamu maana nimeona jina la BABA MKWE NA LA MKE WANGU,AISEE UMEWAJULIA WAPI WOTE HAO?
 
Percy Sledge - When ZD Loves CHRISPIN

When ZD loves XPIN
Can't keep her mind on nothing else
SHe'll trade the world
For the good thing she's found
If he's bad she can't see it
he can do no wrong
Turn her back on her best friend
If She put him down

When ZD loves Xpin
Spend her very last dime
Tryin' to hold on to what She needs
SHe'd give up all her comfort
Sleep out in the rain
If he said that's the way it ought to be

Well, this ZD loves Xpin
I gave you everything I had
Tryin' to hold on to your precious love
Baby, please don't treat me bad

When ZD loves XPIN
Down deep in her soul
he can bring her such misery
If he plays her for a fool
SHe's the last one to know
Lovin' eyes can't ever see

When ZD loves Xpin
SHe can do no wrong
SHe can never own some other Man
Yes when ZD loves XPIN
I know exactly how She feels
'Cause baby, baby, baby, you're my world

When ZD loves CHRISPIN...............

Samahani masa sijaku-quote unisamehe kwa leo.Hii ni special dedication to my Mchumba.

Thats my girl for real!
Kwa kuwa nakupenda,nitakulinda!
 
Ama kweli waaRabu wa wapemba wanajuana kwa vilemba vyao.
 
Cha lanye ngamsuko, x-mas yamshika ngiore ma kiparu nyi
 
Hahahaah wajua yakhe mabinti waweza kuwa wajifanya wao kwa wao kizungu waita kusagana!

masa mswalie nanihii usiongee hayo maneno!!!!

ZD we are you!!! please come for my rescue, even my own shemeji has denied and is doubtn my jinsia sasa
 
Back
Top Bottom