Salam za Wachagga- Xmas

Hii avatar yako bab kubwa hii itakuwa avatar yangu muda sio mrefu na inlanchi.

Duh hapo bado nyama ya mbuzi tu ile Ndafu au sio mpwa kisha unatelemshia na Nguli type.
 
Naona mmebadili avatar zenu/xspin
he jamani ni jadi, kite mmae,au iiwe la maakwa ni moshi tu, karibuni jamani, nauli ni kawaida kupanda kupunguza msongamano kijijini, tuko wengi mno ARDHI mlio tupatia ndio hio mwaijua mwe, lakini ndafu lazima aanguke na MUNGU wetu tumuombe siku mpya na mambo mapya.
 
Mi hii nimeweka kwa ajili ya get tugedha ya kesho vp sijapata report yako utakuja au lah?

Ni wapi pa kutoa taarifa?? mimi ni wakukosa? labda kuwe na emergence ya kufa mtu.
 
Ni wapi pa kutoa taarifa?? mimi ni wakukosa? labda kuwe na emergence ya kufa mtu.

Hahahaha haya mpwa lakini mwone Kaizer ndo mwenye taratibu zote mpwa.
 
Masanilo ni kweli yote haya, bali umesaha..sahau ile kata ya meku wa kale ni wakati huu jamani, na kautu...kautumbo na masingiri ya shingo kwa akina mama wasa....wasasiii...
 
Masanilo ni kweli yote haya, bali umesaha..sahau ile kata ya meku wa kale ni wakati huu jamani, na kautu...kautumbo na masingiri ya shingo kwa akina mama wasa....wasasiii...

OK Mkuu usiache kupita kwa Macha pale Marangu Mtoni, bia zake tamu sana!
 
Hii avatar yako bab kubwa hii itakuwa avatar yangu muda sio mrefu na inlanchi.

Nguli, kusema kweli avatar yako hiyo huwa inaendana sana na post zako. Ukibadili itanichukua muda sana kuzoea. Ni kama nikisoma post za Chrispin sura inayonijia ni ya Mh Temba. Sijui kwanini. And this was cemented in that thread "Kwa Wachagga tu", I have no idea why
 
kwa heshima yako siibadili, ila umenishtua kuhusu mawazo/ufahamu yako kwa vile ni kweli XSPIN anafanana sana na Mh Temba.
 
kwa heshima yako siibadili, ila umenishtua kuhusu mawazo/ufahamu yako kwa vile ni kweli XSPIN anafanana sana na Mh Temba.

eeh afadhali maana hata mimi ningeconfuzika mara kwa mara....ya Iribini ndo imeleta maana haswa acha apige klauri hapo
 
eeh afadhali maana hata mimi ningeconfuzika mara kwa mara....ya Iribini ndo imeleta maana haswa acha apige klauri hapo

Upo? long time sijakusikia.
 
kwa heshima yako siibadili, ila umenishtua kuhusu mawazo/ufahamu yako kwa vile ni kweli XSPIN anafanana sana na Mh Temba.

Usishtuke mkuu. Coincidence
Only person I know in here is Nkamangi, na siku nyingi sijamuona. Have a blessed weekend all!!
 
nipo hata mi najiuliza kwani vipi siku hizi beep and you are gone!!!! bt its all gud my Nguli

Nilibanwa sana na repot za mwisho wa mwezi frm next wk nitakuwa active.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…