Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Hii avatar yako bab kubwa hii itakuwa avatar yangu muda sio mrefu na inlanchi.
![]()
Duh hapo bado nyama ya mbuzi tu ile Ndafu au sio mpwa kisha unatelemshia na Nguli type.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii avatar yako bab kubwa hii itakuwa avatar yangu muda sio mrefu na inlanchi.
![]()
Duh hapo bado nyama ya mbuzi tu ile Ndafu au sio mpwa kisha unatelemshia na Nguli type.
Duh hapo bado nyama ya mbuzi tu ile Ndafu au sio mpwa kisha unatelemshia na Nguli type.
Naona mmebadili avatar zenu/xspin![]()
he jamani ni jadi, kite mmae,au iiwe la maakwa ni moshi tu, karibuni jamani, nauli ni kawaida kupanda kupunguza msongamano kijijini, tuko wengi mno ARDHI mlio tupatia ndio hio mwaijua mwe, lakini ndafu lazima aanguke na MUNGU wetu tumuombe siku mpya na mambo mapya.Naona mmebadili avatar zenu/xspin![]()
Mhh,
Hapo inaitwa JILAMBE KIDOLE.
Mama weeeeee!!!!!!!!!!!!
![]()
Mi hii nimeweka kwa ajili ya get tugedha ya kesho vp sijapata report yako utakuja au lah?
Ni wapi pa kutoa taarifa?? mimi ni wakukosa? labda kuwe na emergence ya kufa mtu.
Masanilo ni kweli yote haya, bali umesaha..sahau ile kata ya meku wa kale ni wakati huu jamani, na kautu...kautumbo na masingiri ya shingo kwa akina mama wasa....wasasiii...
Hii avatar yako bab kubwa hii itakuwa avatar yangu muda sio mrefu na inlanchi.
![]()
Nguli, kusema kweli avatar yako hiyo huwa inaendana sana na post zako. Ukibadili itanichukua muda sana kuzoea. Ni kama nikisoma post za Chrispin sura inayonijia ni ya Mh Temba. Sijui kwanini. And this was cemented in that thread "Kwa Wachagga tu", I have no idea why
kwa heshima yako siibadili, ila umenishtua kuhusu mawazo/ufahamu yako kwa vile ni kweli XSPIN anafanana sana na Mh Temba.
eeh afadhali maana hata mimi ningeconfuzika mara kwa mara....ya Iribini ndo imeleta maana haswa acha apige klauri hapo
Upo? long time sijakusikia.
Mmmhh mambo ya weekenda hayo!
kwa heshima yako siibadili, ila umenishtua kuhusu mawazo/ufahamu yako kwa vile ni kweli XSPIN anafanana sana na Mh Temba.
nipo hata mi najiuliza kwani vipi siku hizi beep and you are gone!!!! bt its all gud my Nguli