Salam zao Apson na Mboma

Salam zao Apson na Mboma

Status
Not open for further replies.
"To every action, there is equal and opposite reaction.."
MKJJ, hiyo vita haupo peke yako...tumia huu uwanja pia kama sehemu ya mapigano...wakijua tunajua kwamba tunajua mipango yao..watashindwa...waanike kadri ya unavyopata habari zao...

huu si wakati wa nzi kulala...hakuna kutoa nafuu kwa hawa wenye vidonda...
 
Kufahamika mbona nafahamika vizuri tu; kinachonisumbua ni hili kundi ambalo linaamini kabisa kuwa nchi hii ni ya kwao kabisa na sisi wengine ni wapangaji na tunahitaji kuomba kibali kwao ili tuwe.

Mzee MJJ weka hilo kundi hapa hadharani tuwajue kwa majina yao hao ambao wanajifanya wana hati miliki ya Tanzania na sisi wengine ni wapangaji.Hawa ni watu hatari sana wanaweza kufanya maamuzi kwa manufaa yao binafsi bila kujali maslahi ya watanzania wengine.

Mkuu MJJ yamwage majina yao hapa ili umma wa watanzania uwajue wabaya wao ni akina nani.Unajua kupigana vita na adui umjuae ni vizuri zaidi ya kuambana na adui asiyejulikana.

Siku zote watanzania tumekuwa tukiambiwa adui yetu ni ujinga,maradhi na umaskini kumbe tumekuwa tukidanganyika tuu muda wote huo.Sasa Maadam MJJ unawafahamu hawa maadui tuwekee wazi ili umma uwajue wanaorudisha nyuma maendeleo ya Tanzania ni kina nani halafu tuone ubabe wao utafika wapi mbele ya umma wa Tanzania walio maskini na wenye hasira. Wamwage Mkuu hapa jamvini.
 
Sometimes hapa JF kuna vitu sielewi. Na hata sioni ni kwa nini nielewe lakini nabakia kuendelea kusoma. Nakumbuka kile katabu cha kiswahili "kusadikika" sidhani kama nilishawahi kukielewa lakini ilinibidi nikisome (tena mara zaidi ya moja) tu kwa kuwa niliamini nitaweza kukitumia kwenye mtihani.

Hivi ndivyo hii thread inavyokwenda.
 
Kachero naona hujasoma kichwa cha habari mkuu! LOL
 
Sometimes hapa JF kuna vitu sielewi. Na hata sioni ni kwa nini nielewe lakini nabakia kuendelea kusoma. Nakumbuka kile katabu cha kiswahili "kusadikika" sidhani kama nilishawahi kukielewa lakini ilinibidi nikisome (tena mara zaidi ya moja) tu kwa kuwa niliamini nitaweza kukitumia kwenye mtihani.

Hivi ndivyo hii thread inavyokwenda.

wewe twende tu!UTAELEWA MBELE YA SAFARI!mliambiwa mtoe hela mpewe riport hamkuweza,mmletewa ya bure hamtaki kusoma!mnataka mkjj awatafunie,na awasaidie kuwamezesha?TWENDE TU KAKA,UTAELEWA HUKOHUKO
 
Bob hujanifafanulie kuhusu RO...Kkwenye kipande hiki:

NB: Salam kwa RO... if you act now you (kwa kumhamisha kuwadi wao) you might change my mind (probably others too) but if you don't nitaamini umesanction the stealth move.

Kuwadi ni nani na ukuwadi wake ni upi

wewe mwaga vitu tuuuu
 
Bob hujanifafanulie kuhusu RO...Kkwenye kipande hiki:

Kuwadi ni nani na ukuwadi wake ni upi

wewe mwaga vitu tuuuu

usiwe na wasiwasi GT.. ujumbe umefika loud and clear; tusonge mbele. Kuwadi wao ni jamaa alikuwa "mlango wa chuma"..
 
Kufahamika mbona nafahamika vizuri tu;

Siamini, naomba useme kweli kwa moyo wako wote. Kama unafahamika na hao wanaotafuta roho za Watanzania wenzao, basi nakuomba utumie jina lako halisi kama Zitto vinginevyo unaweza toweka na watanzania tunaokumbea uzima kila sekunde tusijue lolote. Ukifahamika kwa wote na vitisho unavyopewa itasaidia kwa wahusika kuhusishwa.

Njia hii ya kufahamika itakulinda kama akina Kubenea wanavyofahamika, Mwakyembe, Slaa, Zitto na wengine. Ni ushauri wangu tu kama kweli unafahamika na wabaya, basi watanzania wema wakufahamu pia.
 
usiwe na wasiwasi GT.. ujumbe umefika loud and clear; tusonge mbele. Kuwadi wao ni jamaa alikuwa "mlango wa chuma"..

ahh lakini wengine umetuacha njiani

mie nilitaka kumjua huyo mpambe au ndio kama unavyomwita MLANGO WA CHUMA

who knows naweza nikawa na zaidi...au ushasahau lile benzi lililotumbukizwa baharini?
 
ahh lakini wengine umetuacha njiani

mie nilitaka kumjua huyo mpambe au ndio kama unavyomwita MLANGO WA CHUMA

who knows naweza nikawa na zaidi...au ushasahau lile benzi lililotumbukizwa baharini?

shukrani; usiwe na wasiwasi. ikibidi zaidi tutaweka hapa. Si unamfahamu jamaa yule wa TISS mwenye nyumba 50? ndio kundi hilo hilo.
 
shukrani; usiwe na wasiwasi. ikibidi zaidi tutaweka hapa. Si unamfahamu jamaa yule wa TISS mwenye nyumba 50? ndio kundi hilo hilo.

waswahili twasema Wasi wasi ndio aqeeeli ukimwona mtu hana wac wac basi ujue hamnazo au waarabu wa Kilwa wasema atakuwa Majudhubi huyooo

ahaaa wewe kumbe wazumzia yule jamaa mwenye nyumba Bishop street na jirani yake ni Princes Haya of Qatar..duh ! jamaa nuksi yule
 
wewe twende tu!UTAELEWA MBELE YA SAFARI!mliambiwa mtoe hela mpewe riport hamkuweza,mmletewa ya bure hamtaki kusoma!mnataka mkjj awatafunie,na awasaidie kuwamezesha?TWENDE TU KAKA,UTAELEWA HUKOHUKO

Geoff,
Ukweli unauma na kweli umeinena. Ni kweli sijaisoma ile ripoti. Lakini nimesha itengea muda. Umenipa challenge kwamba natakiwa kuisoma haraka. Thanks lakini. Some others we are still young in this game so bare with us.
 
This is wonderful,kila nikisoma haya majadiliano nakumbuka " i have a dream" by Martin Luther Jnr,trust me one day will be there if we won't shut up and draw back
 
Mzee mwanakijiji, heshima mbele mzee!

1. Ninafikiri kuna haja ya mkakati wa kujenga wafuasi dedicated watakaotanua movement hii.Watu wengi zaidi wanaelewa vizuri kama wakipewa nyeti zote especially names/crimes na mafisadi. Hii itasaidia zaidi wale ambao hawako well connected esp. na classified info

2. Angalia jinsi unavyoweza ku - wafikia kirahisi civil severnts na students wa higher learning institutions.

3. Mambo yanayojadiliwa yafuatiliwe kwa karibu zaidi ili hii forrum isigeuzwe kuwa kijiwe cha gumzo.

4.Tatizo la Apson anaamini kuwa hagusiki na kwake hakufikiki, kwa kuwa anaamini watu wengi ni wa porojo tu. its our responsibility to prove him wrong, that the game has changed. Ila naamini ikiwa hafikiwi vizuri aliko, na ikiwa ni expensivi kumfikia, kwani wazee hakuna shortcut kweli? Hata tukipiga London hataumia kweli? If we cant do it publically, can we do it privately then?
 
Kama hatuwawezi kwa bunduki na vifaru, na hatuna jela za kuwaweka, basi tuwatie aibu, tuwaaibishe, wao na wake zao na watoto wao. Kama hakuna hatua inayochukuliwa basi tuwazomee, wao na watoto wao. Kama serikali haiwezi kuchukua hatua basi ikiwezekana tuchukue hatua sisi wenyewe.
Tuwakamate wake zao makanisani. Tuwapige watoto wao mitaani.
Tubomoe miradi yao.
KUSEMA NA KUZOMEA TU HAITOSHI.TUFANYE ZAIDI YA HAPO.
 
excellent !
.............................
amani yetu inatumika vibaya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom