Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri mfano wako huo ktk uwekezaji unajaribu kuthibitisha kwamba numbers si kila kitu, sitaki pingana na hilo licha ya kwamba ni mfano wa kiujumla sina uhakika linapokuja suala specific hili la Millard dhidi ya Salama tufanye application yà hivyo.
Yatosha kusema, kwa sasa Millard Ayo ni moja kati ya chanzo cha kuaminika cha taarifa kwenye interview yaani the most reliable and credible source of information, hii si tu in fact anakaribiana na hadhi sawa na hizi regular media outlets zingine kama redio na vyombo vya habari na amefanya interviews kwenye angle tofauti, yaani siasa, michezo, filamu, buradani n.k na zimepata kutazamwa na watu wengi...
Salama Jabir yeye ana deal zaidi na entertainment interviews siasa kwa uchache sana na alizozifanya si kwa ubora maana ufahamu wake labda interest yake ni ndogo, ukimpa hard news ati afanye mahojiano mathalani na waziri mkuu simuoni bora dhidi ya Millard, wigo wake ni mdogo mnoo.
Labda kama tuwe specific yaani tuwalinganishe kwenye entertainment interviews, hawa ni watu wawili wanaojipambanua tofauti, mmoja ni mwanahabari kwa ujumla, mwingine specialized kwenye habari za burudani labda na michezo...
Nakazia. . salama ni next level
Kimsingi, wamekosea kumlinganisha mwanahabari za burudani dhidi ya mwanahabari (Salama Vs. Millard).Kama unaona millard ana depth au yupo flexible kwenye interview zake kuliko salama.. its ok
Kama unaona millard ana influence kubwa kwenye media na entertainment industry ya Tz.. its ok
Tutakesha kwa vitu vidogo
Tukubaliane tu kutokukubaliana mkuu
Kimsingi, wamekosea kumlinganisha mwanahabari za burudani dhidi ya mwanahabari (Salama Vs. Millard).
Sasa kuna wafuatiluaji wa habari za burudani pro dhidi ya wafuatiliaji wa habari zote kwa ujumla ziwe hard news na hizi za burudani na michezo n.k kwa ujumla, lazma tukubaliane kutokukubaluana.
Ni rahisi mnoo kufanya interviews na hawa watu wa entertainment kuliko watu wa hard/serious news...
Watu wa entertainment, hawako formal mtangazaji anakuwa too flexible, anaweza hata fukunyua maswali too personal to be relevant na washabiki wanapenda hayo ndipo mtangazaji anaonekana mahiri ati kaibua mambo ( hapa ndipo Salama anajipambanua) tofauti na Millard yuko formal...
Anyway, tukubali kutokukubaluana.
yes in digitalHizo namba za wapi??..Digital platform au?
Presentation ya content ndo kitu cha kwanza,hivyo vingine ndo vinafuata..sauti unique watu kibao tu wanazo..Brother unampenda sana millard na sio mbaya
Ila hiyo category ya umahiri wa "Serious News" sijawahi kuuona. Millard mara nyingi ni reporter, hachambui wala haongezi chochote kuonesha huo "UMAHIRI" zaidi ya comments chache...
Ndio maana Ukimlinganisha na miss Kamuntu au mr kikeke watu watakutukana
millard kwa kiasi kikubwa ni sauti unique, nzuri pamoja platform ya clouds na efforts zake binafsi... hiyo ndio EXTRA kwenye ORDINARY yake
Again..lets agree to disagree