Salama J vs Millard Ayo: Yupi ni mkali zaidi akifanya interview na msanii?

Salama J vs Millard Ayo: Yupi ni mkali zaidi akifanya interview na msanii?

Kwa hiyo tumefikia hatua ya kuwalinganisha watu na Marole Model wao ? Millard Ago kakuwa akiomuona Salama akifanya hicho anachofanya na akakiiga na kukifanya.
 
Sijacomment kuegemea preferences zangu binafsi ila UHALISIA

Pia kama unadhani numbers ndio kila kitu katika ubora wa kitu then hujui kitu kinaitwa marketing, branding and promotion..

Makampuni ya mitandao ya simu yaliishit Nigeria kwa kuangalia data za kiwango cha umaskini ila Mnet waliangalia consumers pattern which is qualitative na wakafanya investment ambayo imewafikisha mbali...

Hayo mambo ya numbers ni assurance katika maamuzi ila sio final
Nafikiri mfano wako huo ktk uwekezaji unajaribu kuthibitisha kwamba numbers si kila kitu, sitaki pingana na hilo licha ya kwamba ni mfano wa kiujumla sina uhakika linapokuja suala specific hili la Millard dhidi ya Salama tufanye application yà hivyo.

Yatosha kusema, kwa sasa Millard Ayo ni moja kati ya chanzo cha kuaminika cha taarifa kwenye interview yaani the most reliable and credible source of information, hii si tu in fact anakaribiana na hadhi sawa na hizi regular media outlets zingine kama redio na vyombo vya habari na amefanya interviews kwenye angle tofauti, yaani siasa, michezo, filamu, buradani n.k na zimepata kutazamwa na watu wengi...

Salama Jabir yeye ana deal zaidi na entertainment interviews siasa kwa uchache sana na alizozifanya si kwa ubora maana ufahamu wake labda interest yake ni ndogo, ukimpa hard news ati afanye mahojiano mathalani na waziri mkuu simuoni bora dhidi ya Millard, wigo wake ni mdogo mnoo.

Labda kama tuwe specific yaani tuwalinganishe kwenye entertainment interviews, hawa ni watu wawili wanaojipambanua tofauti, mmoja ni mwanahabari kwa ujumla, mwingine specialized kwenye habari za burudani labda na michezo...
 
Unahisi salama akimuhoji Mtu vs Millard akimuhoji mtu ni yupi kati ya hawa mwenye maswali kuntu na ya kufikirisha? yupi unamkubali hapo kwenye kuhoji ma star wa kibongo.

View attachment 1397335View attachment 1397336

Mimi nampa Salama 81% then Millard nampa 83%

Salama ni mtu anaefanya Interview kali na nzuri kwa zama zake, ila kwa sasa sio mkali kivile ni wakawaida tu
Millard Ayo ni mtu anaepiga story/simulizi ili kukamilisha interview, namuona wa kawaida sana
Lil Ommyni mtu ambae hakufanyii Interview ila ni mtu ambae anakusimulia historia yako/mambo yako ili ujielezee namuona zama zake zitapita

BUT Kulingana na swali lako, Salama Mkali japo anachagua watu wakufanya nao Interview
 
Mkuu umemsahau Mama lao the queen of talkshow Billionea Oprah Winfrey.

Hakuna mtu anaongea kiingreza formal kama Oprah, maswali yake yako staright na vibe kama lote. Ellen de generes yuko side ya utani ndani ya interview
Salama anam'copy kila kitu Role model wake Elen wa The Elen show,,Hadi u'tom boy,,sema hakuna mtangazaji mkubwa duniani kama Elen..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswahili hapa ndio tunapofeli hatuendelei sababu ya kupenda kufuatilia personality na maisha binafsi ya watu. Ukiambiwa u proove allegations zako mahakamani utaweza. Akili fupi huwa zina discuss watu. Na hizi tabia waswahili wengi zimewakaa. Nigga does it add a salt or luku in your table. Who gives a https://jamii.app/JFUserGuide whether he is gay or lesbian.

Tuna safari ndefu sana ya kuendelea mbele
Mbona milard naye gay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu ambae ni mkali wa hard talk interviews ni Baruan Muhuza Ila kwasasa kawa muoga ,amejibanza kwenye nyundo, wanasiasa kawa kimbia. Wapili kwenye sports ni Maulid kitenge , kwenye burudan ni salama jabir.
 
Waswahili hapa ndio tunapofeli hatuendelei sababu ya kupenda kufuatilia personality na maisha binafsi ya watu. Ukiambiwa u proove allegations zako mahakamani utaweza. Akili fupi huwa zina discuss watu. Na hizi tabia waswahili wengi zimewakaa. Nigga does it add a salt or luku in your table. Who gives a **** whether he is gay or lesbian.

Tuna safari ndefu sana ya kuendelea mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
WEWE UKIAMBIWA U PROVE ALLEGATION ZA KUWA SALAMA NI LESBIAN UTAWEZA
 
SOMA COMMENTS NILIYOIQUOTE KAMA ILIKUWA INAMSIFIA AU INAMPAMBA
Kwa hiyo unanilaumu mimi kwa kutokukosoa?

Na hiyo comment iliyokuwa inasifia au kukosoa kwani nimeandika mimi?

Kwanza hiyo comment sijaiona,pili jamii forum hapa kila mtu akiona kitu akijakaa vizuri ana uhuru wa kukosoa au kama kibaya ana uwezo wa kuripoti.So kama umekosoa ww inatosha mimi nimekosoa nilichokiona.

Hizo stress zako mtafute mtu wa kumshushia.
 
KWANINI HUJAIKOSOA HIYO UNAKIMBILIA KUKOSOA YANGU AU KWA KUWA ALIYEANZA KUTUKANWA NI MWANAMKE
 
KWANINI HUJAIKOSOA HIYO UNAKIMBILIA KUKOSOA YANGU AU KWA KUWA ALIYEANZA KUTUKANWA NI MWANAMKE
Kwani mimi humu jamii forum kazi yangu ni kukosoa?

Nimekosoa yako sababu nimeiona,ndio maana nimekosoa NA HATA KESHO UKIANDIKA COMMENT YA KIPUUUUUUZIIIIIII KAMA NIKIIONA NITAIKOSOA

Hiko kingine unachoongea ww sijakiona.KAMA wewe umekiona alafu HUJAKIKOSOA bali umeamua na kuropoka basi ww ni MPUUZI.

Au uliambiwa mimi ni stuff wa jamii forum kazi yangu kukisoa.Narudia tena MIMI NAKOSOA NILICHOKIONA.
 
Abeee, yote hayo ya natoka wapi?
Ulipata Malezi mabaya sana utotoni
Watu humu wanataka uwe na mitazamo kama yao. Hapo kakwambia wanaongelea kazi siyo tabia ya mtu, halafu mtu huyo huyo ka like kwa mtu aliyesema millard ni mnafiki.
Humu kuna watu wakitukanwa ni sawa na kuna wengine wakitukanwa ni kosa. Mfano kikiongelewa kitu chochote kibaya kuhusu mawingu au watangazaji wa huko utaona support sasa upepo ugeuke utasikia usifuatilie mambo ya watu wewe umekosala kufanya..
Ila mwisho wa siku nawakubari Salama na Millard maana kila mmoja ana utangazaji wake tofauti na mwingine yani kila mmoja anafit kwenye uwanja wake
 
Kwani mimi humu jamii forum kazi yangu ni kukosoa?

Nimekosoa yako sababu nimeiona,ndio maana nimekosoa NA HATA KESHO UKIANDIKA COMMENT YA KIPUUUUUUZIIIIIII KAMA NIKIIONA NITAIKOSOA

Hiko kingine unachoongea ww sijakiona.KAMA wewe umekiona alafu HUJAKIKOSOA bali umeamua na kuropoka basi ww ni MPUUZI.

Au uliambiwa mimi ni stuff wa jamii forum kazi yangu kukisoa.Narudia tena MIMI NAKOSOA NILICHOKIONA.
TUTAANDIKA SANA KAMA NI KUKOSOA WEWE JIANDAE KISAIKOLOJIA, AU NA WEWE NI GAY NDIO MAANA IMEKUUMA
 
TUTAANDIKA SANA KAMA NI KUKOSOA WEWE JIANDAE KISAIKOLOJIA, AU NA WEWE NI GAY NDIO MAANA IMEKUUMA

🤣🤣🤣 Naona stress zako unahamishia kwangu?

Jifunze kuheshimu brand na kampuni za watu.Uhuru huu wa kuongea husiutumie kuchafua watu,mtu mkubali kwani kusema humkubali utapungukiwa nini?We kama uliona mtu kakosea unge mkosoa na si kuja kwangu kuanza kusema kwa nini sija MKOSOA ,nakosoa ninachokiona.

Pili kwa hiyo mimi kutokukosoa comment ya Salama ndio umekasirika?

Sijajua jinsia yako kama ni WA KIUME nawaonea huruma wazazi wako.Siku zote SISI WANAUME hatufanyi hivyo.

Narudia pale pale ukiandika UPUUZI MIMI NITAKOSEA cha msingi ww endelea na upuuzi wako KAMA HUU ila mimi nikiuona nita ukosoa UPUUZI wako.

Uache UPUUZI.
 
Mbona milard naye gay
Kwa kuwa mwenzako kafanya upuuzi na wewe ukamlipa upuuzi
Millard is the best and not that lesbian
Mwisho wa siku wote ni wapuuzi.@Hermanone ukiona kitu kibaya kikokosoe ,nikiwauliza je mna proof kwamba hawa wote wanafanya homosexualism?

Hapa tunadiscuss uwezo wa mtu ktk professional zao na kuanza kumlaumu mtu aliyekukisoa ,kama mna proof a matendo mnaweza mkaambatanisha na si huu UTOTO mnaoufanya.
 
Mkuu umemsahau Mama lao the queen of talkshow Billionea Oprah Winfrey.

Hakuna mtu anaongea kiingreza formal kama Oprah, maswali yake yako staright na vibe kama lote. Ellen de generes yuko side ya utani ndani ya interview

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah,,nimecheka ngoma mpya ya Lil Yatch ft Drake na Da Baby et Lil Yatch kamuiga Oprah kila kitu hadi ku'interview.
 
Back
Top Bottom