Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Messi alikuwa na role model Ila najua unaelewa Messi Yuko level ganiKwa hiyo tumefikia hatua ya kuwalinganisha watu na Marole Model wao ? Millard Ago kakuwa akiomuona Salama akifanya hicho anachofanya na akakiiga na kukifanya.
Nafikiri mfano wako huo ktk uwekezaji unajaribu kuthibitisha kwamba numbers si kila kitu, sitaki pingana na hilo licha ya kwamba ni mfano wa kiujumla sina uhakika linapokuja suala specific hili la Millard dhidi ya Salama tufanye application yà hivyo.Sijacomment kuegemea preferences zangu binafsi ila UHALISIA
Pia kama unadhani numbers ndio kila kitu katika ubora wa kitu then hujui kitu kinaitwa marketing, branding and promotion..
Makampuni ya mitandao ya simu yaliishit Nigeria kwa kuangalia data za kiwango cha umaskini ila Mnet waliangalia consumers pattern which is qualitative na wakafanya investment ambayo imewafikisha mbali...
Hayo mambo ya numbers ni assurance katika maamuzi ila sio final
Unahisi salama akimuhoji Mtu vs Millard akimuhoji mtu ni yupi kati ya hawa mwenye maswali kuntu na ya kufikirisha? yupi unamkubali hapo kwenye kuhoji ma star wa kibongo.
View attachment 1397335View attachment 1397336
Mimi nampa Salama 81% then Millard nampa 83%
KWAHIYO SALAMA YEYE SIO MTU HADI MUHARIBU IMAGE YAKE?Msiharibu image na brand za watu,kama mtu humkubali sema "si mkubali " simple kwani hauto pungukiwa na kitu.
Nani kaharibu brand ya Salama?KWAHIYO SALAMA YEYE SIO MTU HADI MUHARIBU IMAGE YAKE?
SOMA COMMENTS NILIYOIQUOTE KAMA ILIKUWA INAMSIFIA AU INAMPAMBANani kaharibu brand ya Salama?
Salama anam'copy kila kitu Role model wake Elen wa The Elen show,,Hadi u'tom boy,,sema hakuna mtangazaji mkubwa duniani kama Elen..
Mbona milard naye gay
WEWE UKIAMBIWA U PROVE ALLEGATION ZA KUWA SALAMA NI LESBIAN UTAWEZAWaswahili hapa ndio tunapofeli hatuendelei sababu ya kupenda kufuatilia personality na maisha binafsi ya watu. Ukiambiwa u proove allegations zako mahakamani utaweza. Akili fupi huwa zina discuss watu. Na hizi tabia waswahili wengi zimewakaa. Nigga does it add a salt or luku in your table. Who gives a **** whether he is gay or lesbian.
Tuna safari ndefu sana ya kuendelea mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unanilaumu mimi kwa kutokukosoa?SOMA COMMENTS NILIYOIQUOTE KAMA ILIKUWA INAMSIFIA AU INAMPAMBA
KWANINI HUJAIKOSOA HIYO UNAKIMBILIA KUKOSOA YANGU AU KWA KUWA ALIYEANZA KUTUKANWA NI MWANAMKEKwa hiyo unanilaumu mimi kwa kutokukosoa?
Na hiyo comment iliyokuwa inasifia au kukosoa kwani nimeandika mimi?
Kwanza hiyo comment sijaiona,pili jamii forum hapa kila mtu akiona kitu akijakaa vizuri ana uhuru wa kukosoa au kama kibaya ana uwezo wa kuripoti.So kama umekosoa ww inatosha mimi nimekosoa nilichokiona.
Hizo stress zako mtafute mtu wa kumshushia.
Kwani mimi humu jamii forum kazi yangu ni kukosoa?KWANINI HUJAIKOSOA HIYO UNAKIMBILIA KUKOSOA YANGU AU KWA KUWA ALIYEANZA KUTUKANWA NI MWANAMKE
Watu humu wanataka uwe na mitazamo kama yao. Hapo kakwambia wanaongelea kazi siyo tabia ya mtu, halafu mtu huyo huyo ka like kwa mtu aliyesema millard ni mnafiki.Abeee, yote hayo ya natoka wapi?
Ulipata Malezi mabaya sana utotoni
TUTAANDIKA SANA KAMA NI KUKOSOA WEWE JIANDAE KISAIKOLOJIA, AU NA WEWE NI GAY NDIO MAANA IMEKUUMAKwani mimi humu jamii forum kazi yangu ni kukosoa?
Nimekosoa yako sababu nimeiona,ndio maana nimekosoa NA HATA KESHO UKIANDIKA COMMENT YA KIPUUUUUUZIIIIIII KAMA NIKIIONA NITAIKOSOA
Hiko kingine unachoongea ww sijakiona.KAMA wewe umekiona alafu HUJAKIKOSOA bali umeamua na kuropoka basi ww ni MPUUZI.
Au uliambiwa mimi ni stuff wa jamii forum kazi yangu kukisoa.Narudia tena MIMI NAKOSOA NILICHOKIONA.
TUTAANDIKA SANA KAMA NI KUKOSOA WEWE JIANDAE KISAIKOLOJIA, AU NA WEWE NI GAY NDIO MAANA IMEKUUMA
Kwa kuwa mwenzako kafanya upuuzi na wewe ukamlipa upuuziMbona milard naye gay
Mwisho wa siku wote ni wapuuzi.@Hermanone ukiona kitu kibaya kikokosoe ,nikiwauliza je mna proof kwamba hawa wote wanafanya homosexualism?Millard is the best and not that lesbian
Yeah,,nimecheka ngoma mpya ya Lil Yatch ft Drake na Da Baby et Lil Yatch kamuiga Oprah kila kitu hadi ku'interview.Mkuu umemsahau Mama lao the queen of talkshow Billionea Oprah Winfrey.
Hakuna mtu anaongea kiingreza formal kama Oprah, maswali yake yako staright na vibe kama lote. Ellen de generes yuko side ya utani ndani ya interview
Sent using Jamii Forums mobile app