Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
hayo ni maneni ya Salama Jabiri ambae amefukunga kuwa anatamani kuolewa na Ambwene Yasaya(AY),kwa aliyeona Kipindi cha mikasi nadhani atakuwa alisikia maneno hayo
Pengine ilikuwa ni utani tu,lakini hakuna ajuaye kesho who knows salama anaweza kuwa Mrs AY....
source;mpekuzi
salama sio mtu wa kuolewa
Wanawake kwa Unique ni kama shati na kifungo.AY kashafix meno?
Ye ni mtu wa nini Mkuu?
Swaga za Sal J ni kali mno. AY hatoziweza!
who doesn't? Come to my crib upate msuba uondoe mastress!hivi ni kweli huyu binti huwa anavuta bange?
wewe! aliyekosa kalio mbele ana kitumbua cha kufa mtu!halafu unataka nini kwenye kigoda?chukueni mwari huyo mbona yuko poa tu,sema tunamuoga ndani ya nyumba itakuwa makavu laivu every day !hana muhali mzenji yule wakati muhali ndio sifa ya wazenji!...mmmhh... Salama flat screen....hana makalio kabisa.... hw can she get married.... havutiii.... nothing in there....♡♡♥