Salama Jabir anatamani kuolewa na AY

Salama Jabir anatamani kuolewa na AY

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
37,226
Reaction score
26,687
Hayo ni maneni ya Salama Jabiri ambae amefukunga kuwa anatamani kuolewa na Ambwene Yasaya(AY),kwa aliyeona Kipindi cha mikasi nadhani atakuwa alisikia maneno hayo

Pengine ilikuwa ni utani tu,lakini hakuna ajuaye kesho who knows salama anaweza kuwa Mrs AY....


salama1.jpg


AY123BC.jpg
 
hayo ni maneni ya Salama Jabiri ambae amefukunga kuwa anatamani kuolewa na Ambwene Yasaya(AY),kwa aliyeona Kipindi cha mikasi nadhani atakuwa alisikia maneno hayo

Pengine ilikuwa ni utani tu,lakini hakuna ajuaye kesho who knows salama anaweza kuwa Mrs AY....


salama1.jpg


AY123BC.jpg


source;mpekuzi

Upuzi tu, umekosa vitu vya kuzungumza!
 
AY kashafix meno?
Wanawake kwa Unique ni kama shati na kifungo.
Mtaani kwetu kuna kijana akiongea kama chura anakoroma. Kwa hilo tu, anawabandua bandua. Sasa sijui kwenye kale kamchezo huwa anakoroma kama chura.
 
Salama ni dominant woman,si unamwona hata jinsi hata anavyoongea,na vile alivyo AY,hamuwezi labda aibiwe hela tu.
 
...mmmhh... Salama flat screen....hana makalio kabisa.... hw can she get married.... havutiii.... nothing in there....♡♡♥
wewe! aliyekosa kalio mbele ana kitumbua cha kufa mtu!halafu unataka nini kwenye kigoda?chukueni mwari huyo mbona yuko poa tu,sema tunamuoga ndani ya nyumba itakuwa makavu laivu every day !hana muhali mzenji yule wakati muhali ndio sifa ya wazenji!
 
Back
Top Bottom