Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Hayo ni maneni ya Salama Jabiri ambae amefukunga kuwa anatamani kuolewa na Ambwene Yasaya(AY),kwa aliyeona Kipindi cha mikasi nadhani atakuwa alisikia maneno hayo
Pengine ilikuwa ni utani tu,lakini hakuna ajuaye kesho who knows salama anaweza kuwa Mrs AY....
Pengine ilikuwa ni utani tu,lakini hakuna ajuaye kesho who knows salama anaweza kuwa Mrs AY....