Salama Jabir anatamani kuolewa na AY

si alisema ataolewa na mwanaume anayeweza kupiga gitaa tu sasa AY anajua kupiga gitaa au baada ya kuona mda unaenda akaona requirement ziko juu sana ameamua kupunguza!! mmmmmh kutoka mpiga gitaa mpaka AY mimeno she must b very desperate!!!
 
mkuu naona uzi huu, unaendana na unyunyu unaonukia kuhusu wawili hawa,ama kweli lisemwalo lipo.......kama halipo basi laja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…