Salama Jabir anatamani kuolewa na AY

Salama Jabir anatamani kuolewa na AY

si alisema ataolewa na mwanaume anayeweza kupiga gitaa tu sasa AY anajua kupiga gitaa au baada ya kuona mda unaenda akaona requirement ziko juu sana ameamua kupunguza!! mmmmmh kutoka mpiga gitaa mpaka AY mimeno she must b very desperate!!!
 
hayo ni maneni ya Salama Jabiri ambae amefukunga kuwa anatamani kuolewa na Ambwene Yasaya(AY),kwa aliyeona Kipindi cha mikasi nadhani atakuwa alisikia maneno hayo

Pengine ilikuwa ni utani tu,lakini hakuna ajuaye kesho who knows salama anaweza kuwa Mrs AY....


salama1.jpg


AY123BC.jpg


source;mpekuzi
mkuu naona uzi huu, unaendana na unyunyu unaonukia kuhusu wawili hawa,ama kweli lisemwalo lipo.......kama halipo basi laja
 
Back
Top Bottom